Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Kuanzia leo naacha kusoma magazeti ya sasa
Watu tunahitaji sukari wao wanatulisha chumvi
Haryana tofauti na gazeti za udaku
.......
Kuanzia leo naacha kusoma magazeti ya sasa
Siku ikitokea ajali na kufa watu 50 vichwa vya habari vitakuwa hiviWaandishi makanjanja.
Utasoma tu maana hamna namna sasaKuanzia leo naacha kusoma magazeti ya sasa
Watu tunahitaji sukari wao wanatulisha chumvi
Haryana tofauti na gazeti za udaku
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Wanaiaibisha taalumaSiku ikitokea ajali na kufa watu 50 vichwa vya habari vitakuwa hivi
1/Ajali yaua wanawake 10
2/Vichanga 6 vyafariki ajalini
3/Kiongozi mmoja afa ajalini
4_Wanafunzi 20 wafariki ajalini
Yaani full magumashi ujuaji mwingi
![]()
![]()
![]()
.........
Sikubali kulishwa matango poriUtasoma tu maana hamna namna sasa
Kwa hapo wajidhalilisha sanaHe he he kiboko kabisa
Njaa mkuuWaandishi makanjanja.
Wengi ni four mbaya kabsaaaWaandishi makanjanja.
Zimefika, karibu tenaSalamu zangu za dhati ziwafikie wote humu ndani.
Aibu kubwaKwa hapo wajidhalilisha sana
Wanakuwa kama mashabiki wa MessiBadala ya taaluma imekuwa taanyuma
![]()
![]()
![]()
......
Salama mkuu....Salamu zangu za dhati ziwafikie wote humu ndani.
Thanks mkuu.Zimefika, karibu tena
Unatuacha sana bhana uwe unakumbuka home mkuuThanks mkuu.
halafu weweeeeWanakuwa kama mashabiki wa Messi
Mkuu tunalazimishwa kupotea na Magu ila tunapopata nafsi kama hivi ya kujuliana hali na ndugu zetu, tunaitumia vema nashukuru kukuona ukiwa na afya njema.Salama mkuu....
Habari ya kupotea