Maradonna
Senior Member
- May 24, 2016
- 183
- 649
Mkuu ni kweli kabisa ni mambo yanaingiliana tu na mkulu amebana point zote, unaishi kwa hofu kubwa ila tupo pamoja sana mkuu, Hali vipi lakin?Unatuacha sana bhana uwe unakumbuka home mkuu
Mkuu ni kweli kabisa ni mambo yanaingiliana tu na mkulu amebana point zote, unaishi kwa hofu kubwa ila tupo pamoja sana mkuu, Hali vipi lakin?Unatuacha sana bhana uwe unakumbuka home mkuu
Ni kweli mkuu, ujue kila mtu ana nafasi yake humuMkuu tunalazimishwa kupotea na Magu ila tunapopata nafsi kama hivi ya kujuliana hali na ndugu zetu, tunaitumia vema nashukuru kukuona ukiwa na afya njema.
Hali njema mkuu, ni kweli hasa kwa wale waliofunga ndoa naye kikazi ni shiidaMkuu ni kweli kabisa ni mambo yanaingiliana tu na mkulu amebana point zote, unaishi kwa hofu kubwa ila tupo pamoja sana mkuu, Hali vipi lakin?
Pigeni kazi mlijisahau sanaMkuu ni kweli kabisa ni mambo yanaingiliana tu na mkulu amebana point zote, unaishi kwa hofu kubwa ila tupo pamoja sana mkuu, Hali vipi lakin?
Naamini hivyo mkuu timu bora hujengwa na wachezaji bora na kila mchezaji huwa na maana sana katika ujenzi wa timu, Naamini sintapotea saaaana tena.Ni kweli mkuu, ujue kila mtu ana nafasi yake humu
UkoNaamini hivyo mkuu timu bora hujengwa na wachezaji bora na kila mchezaji huwa na maana sana katika ujenzi wa timu, Naamini sintapotea saaaana tena.
team work sisiHii ndio TzWengi ni four mbaya kabsaaa
Wanakuwa kama mashabiki wa Messi
Hapana mkuu hakuna alie salama sana hata ninyi mlio nje ya system kilio ni sawa na chetu tu kwani kodi italipwa sasa ajira mpya imezuiwa kidogo, u can feel.Pigeni kazi mlijisahau sana
Hapo umeharibu sasaAnatisha kama yanga
teh teh angalia lisikurudie tuuNgoja nimpige juju
![]()
![]()
![]()
.....
mimi nishanunua jezi ya mazembe tayari
![]()
Kesho ni judgement day