eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Mi nashangaa miaka 29 anaacha kuichezea timu ya taifa******** ty huyo hana lolote, huwez kukimbia majukumu, ndio maana waargentina wanadai messi ni mcatalunya c mwenzao
Mi nashangaa miaka 29 anaacha kuichezea timu ya taifa******** ty huyo hana lolote, huwez kukimbia majukumu, ndio maana waargentina wanadai messi ni mcatalunya c mwenzao
Mkuu hayo ni maneno ya watani nothing siriaz, so ukiwa na hisia kali utaumia...mbona kawaida sana haya maneno?Hapana bhana, haya matusi, kiunazi na ushabiki nimewahi kiwa mnazi na mshabiki mmoja tu ulimwenguni n huyo ni thierry henry kichogo hata uchezaji wake nikajikuta nasakata kabumbu kama yeye mtaani nikaitwa kichogo.. Lakin hawa wengine huwa naonhea kwa ukweli wa dhat kabisa kapuku mwenzangu, sasa kumuita andunje messi hajui si kuutukana mpiara wa kizazi hiki, nikasikia mwngne kasema neymar mpumbav tu, mmoja juzi kaniambia cr7 chizi.. Nikitathimi mineno yao na macho yao.. Naona hawana macho bali wana vidonda
Uzalendo mbele mkuulazma mpigwe hamna namna!!
Mkuu uwe unatoa mojamoja ili tuweze kujazia nyamaLeo katika Historia;
27/06/1976 Ndegeya shirika la ndege la Ufaransa inatekwa na wanamgambo wa PLO toka Palestina ambao inalazimishwa kuja kutua Entebbe Uganda kwa Idd Amin Dada. Ndege hiyo ilikuwa na abiria wengi wa Israel.
27/06/1977 Djibouti inapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.
27/06/1977 Mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Hispania, Raul Gonzalez Blanco anazaliwa.
27/06/2007 Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair anajiuzulu wadhifa huo baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10.
Tarehe kama ya leo kila mwaka ni National HIV Testing Day nchini Marekani.
Uzalendo ndio nini mkuu?Uzalendo mbele mkuu
poa nimekusoma!!Mkuu uwe unatoa mojamoja ili tuweze kujazia nyama
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Maslahi ya nchi kwanza then mengine ya utani wa jadi ufuateUzalendo ndio nini mkuu?
Mfano hapo nashindwa kuongezea somo au picha coz umeweka multiple issuespoa nimekusoma!!
Yanga wametangaza kiingilio bure kesho!!
Muende kwa wingi mkashuhudie Mazembe anavyopiga goli zake 3.
Kipindi anachezea Madrid nilikuwa bado mdogo na wala sikuwa shabiki wa mpira, sasa kaka angu alikuwa anapenda sana kwenda na mimi kuangalia mpira hasa mechi za madrid na asen8 sasa ile kuwacheki kina Raul, Zizou, Guti nk nikajikuta nakuwa mpenzi sana wa Madrid
Ila badala ya kuielewa asen8 nikajikuta naipenda man United nje ndani,
mpaka leo bado niko na hizo club sambamba kabisa
Mmetudhalilisha vya kutosha!! Sasa ni wakati wetu!Maslahi ya nchi kwanza then mengine ya utani wa jadi ufuate
Kuwa mpole hakuna namna mkuu, mjipange upyaMmetudhalilisha vya kutosha!! Sasa ni wakati wetu!
Waandishi makanjanja.![]()
Only In Tz
...............
He he he kiboko kabisa![]()
Only In Tz
...............
Cc Mussolin5Mkuu uwe unatoa mojamoja ili tuweze kujazia nyama
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Mtasubiri sanaaaa anguko la wa kimataifalazma mpigwe hamna namna!!