Makapuku Forum

Makapuku Forum

d969311eecbc4c3a3d5c516940fc5395.jpg

CHILE BINGWA MARA YA PILI MFULULIZO
..................
Viva Chile
Cc Christian de la fuente
Angelica Castro
Raia wote wa chile na wote waliokuwa wakiisapoti Chile
Subiri matusi ya PNC
VIVA CHILE

............
 
Leo katika Historia;

27/06/1976 Ndegeya shirika la ndege la Ufaransa inatekwa na wanamgambo wa PLO toka Palestina ambao inalazimishwa kuja kutua Entebbe Uganda kwa Idd Amin Dada. Ndege hiyo ilikuwa na abiria wengi wa Israel.

27/06/1977 Djibouti inapata Uhuru wake toka kwa Ufaransa.

27/06/1977 Mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Hispania, Raul Gonzalez Blanco anazaliwa.

27/06/2007 Waziri Mkuu wa Uingereza Tony Blair anajiuzulu wadhifa huo baada ya kukaa madarakani kwa miaka 10.

Tarehe kama ya leo kila mwaka ni National HIV Testing Day nchini Marekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom