Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
ShukraniMzigo tayari natumai umeufurahia
ShukraniMzigo tayari natumai umeufurahia
Pamoja sanaaaAsante sana kwa Chile na jimena kwa kutuletea magazeti
Matusi hayo kapuku mwenzanguSasa ndo ujue kuwa Messi hajui
Ukweli ni lazima usemweMatusi hayo kapuku mwenzangu
Haya bhana, siwez lazimisha sio iwe ndioUkweli ni lazima usemwe
Matusi hayo kapuku mwenzangu
Mchezo hauhitaji hasira kuwa mpole tu
Anataka apewe sifa za bure!Ukweli ni lazima usemwe
ana miaka 39. Amemzidi Buffon mwaka mmoja.Asante mkuu kwa historia
Kumbe Raul sio mkubwa sana![]()
![]()
![]()
Nilikuwa nafikiria labda ni wa kwenye 70![]()
![]()
![]()
hahahaaaHivi ile penati alikuwa anakusudia kuangua maembe au??
Hapana bhana, haya matusi, kiunazi na ushabiki nimewahi kiwa mnazi na mshabiki mmoja tu ulimwenguni n huyo ni thierry henry kichogo hata uchezaji wake nikajikuta nasakata kabumbu kama yeye mtaani nikaitwa kichogo.. Lakin hawa wengine huwa naonhea kwa ukweli wa dhat kabisa kapuku mwenzangu, sasa kumuita andunje messi hajui si kuutukana mpiara wa kizazi hiki, nikasikia mwngne kasema neymar mpumbav tu, mmoja juzi kaniambia cr7 chizi.. Nikitathimi mineno yao na macho yao.. Naona hawana macho bali wana vidondaMchezo hauhitaji hasira kuwa mpole tu
Hahaa.. Hasira hasara, mwisho wa siku kapiga mnazi..Hivi ile penati alikuwa anakusudia kuangua maembe au??
Kipindi anachezea Madrid nilikuwa bado mdogo na wala sikuwa shabiki wa mpira, sasa kaka angu alikuwa anapenda sana kwenda na mimi kuangalia mpira hasa mechi za madrid na asen8 sasa ile kuwacheki kina Raul, Zizou, Guti nk nikajikuta nakuwa mpenzi sana wa Madridana miaka 39. Amemzidi Buffon mwaka mmoja.
Ni shiiiiiidahahahaaa
Dua la kuku.......Yanga wametangaza kiingilio bure kesho!!
Muende kwa wingi mkashuhudie Mazembe anavyopiga goli zake 3.
lazma mpigwe hamna namna!!Dua la kuku.......
Mpumbavu ty huyo hana lolote, huwez kukimbia majukumu, ndio maana waargentina wanadai messi ni mcatalunya c mwenzao![]()
Messi quits international football
Chile win 4-2 shoot penalty