Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 4, The Korowai Tribe
648309dabfd6aba13e3fd63d0569a234.jpg


Wako kusini mwa Papua NewGuinea, kwa mara ya kwanza walijua kuwa wao hawapo peke yao dunian mnamo mwaka 1989 walipo kutana na archiologist mmoja huko kwny vijiji vyao, walidhan hakuna mtu zaid yao na kw kipind hiki wana kadiriwa kuwa zaid ya 3000, wao hawataki kubadilisha tamaduni zao kwana wana amini waki ziacha tamaduni hizo,dunia itapatwa na tetemeko kubwa na wata kufa wotee na hiyo ni imani ya kimapokeo
 
Number 3, The Mashco-Piro Tribe
b42b336add9bf836751af1159babb6ce.jpg

Hawa wanaishi misitu ya Amazon inayo itwa Manuu park huko Peru mpaka mara ya mwisho wana kutana na binadam mwingine ali kadiria kuwa wako kama 250 na hiyo ni mwaka 1998, wao huish kwa ku winda , na kula mizizi na hawajawahi onekana na watu wengne toka mwaka huo
 
Number 1,
3ea82636373f1b76d13aa10d238c596c.jpg

Hawa wanaishi huko kwenye kisiwa kati ya India na Thailand
Wao hawajulikani maisha yao kwan hakuna aliye wahi kuwasogelea alaf mshale wa sumu uka mkosa, wameish zaid ya miaka 60,000 hapo hapo kwenye kisiwa
Picha hiyo walipgwa mwaka 2004 wakati wa tsunami na waligoma kutoka na bado wali survive

Inadhaniwa wanaish kwa kuvua samaki, kuwinda na pengne kulima

Ni moja ya watu ambao hawajawahi kumuhifadhi hai mgeni wao yyte
Hivo hawa ndo watu walio jitenga zaid kuliko woote
 
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000

Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Basi mtalipwa nyingi
 
Leo jaman tuncheki makabila kumi ambayo yamegoma kabsa kuacha tamaduni zao na kuji changanya na watu wengne wa duniani

Yaan siyo yana tunza tamaduni tuu bali hawataki mtu yyte mpya au tamaduni yyte mpyaa kabsaa kabsaaa

Yaan Isolated Tribes That Avoided Globalized Civilization

Number 10, The Surma Tribe
77ff2c8c5a447f7e3f0d20b557e49e24.jpg


Hawa wanaishi, South Sudan na kusini ya Ethiopia. Kabila hili Linajumisha makabila ya Nilo-Saharan-speaking Suri, wa Mursi na wa Me’en.

Ukitaka kugombana nao waambie neno serikali wao mara nyingine huwepo ethiopia na mara nyingne hurudi sudani kusini, wanaish kwa kufuga ng'ombe na ni utamaduni wao kwa miaka zaid ya 200, toka vita za dunia ,ukoloni, uhuru mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe haija wahi kuwa toa kwemye maisha yao na utamaduni wao
Hawa kiboko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom