Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Watu poriNumber 9, The Jackson Whites
![]()
Hawa ni mchanganyiko wa wahidi wekundu na wazungu walio kuwa watumwa ambao walikimbia utumwa huko Marekani miaka ya 1700, inakadiriwa mpaka sasa wako zaid ya 5,000, mara yao ya mwisho kupigwa picha na mtu yyte ni mwaka 1911wanaishi kwenye milima huko New Jersey na Rockland County huko kusini mwa New York
Wao hujiita watu wa milimani
