Johnax
JF-Expert Member
- Aug 25, 2015
- 256
- 940
Hujakosea rafiki, habari za roof of AfricaAsante mkuu,natumai uko poa kabisa.
Poa, hivi ulisema unashikilia ngazi gani kwenye kile chama chenu pendwa?Habari za muda huu wakuu
SHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Ngoja niwawahi wale bongo movie.Nzuri mkuuHabari za muda huu wakuu
Poa, hivi ulisema unashikilia ngazi gani kwenye kile chama chenu pendwa?
unazungumzia CHAPUTA?Ukikaa kwa wafugaji wanaelewa sana maana hiyo@jambiloMashavu ya maziwa! Hii mupyaa![]()
Umewahi kufuga mzee!Ukikaa kwa wafugaji wanaelewa sana maana hiyo@jambilo
Mpaka Sasa nafugaUmewahi kufuga mzee!
Kufuga nin mkuu;mbuzi, kondoo, kuku, ng'ombe au ndevu?Mpaka Sasa nafuga

Mbuzi na ng'ombeKufuga nin mkuu;mbuzi, kondoo, kuku, ng'ombe au ndevu?![]()
Sawa mkuuSzczesny natambua uwepo wako, lete 10 za leo baba
UwiiiiiiSHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Teh, hichohicho, youngblood alikuwa na mpango wa kutambulisha kilainishi kipya cha kiasili kabisa *MAJANI YA KIPAPAI* ila sijui hata aliishiaga wapi!unazungumzia CHAPUTA?
Pole sanaaa ShemLeo kumi kubwa zita wahi kdogo
Maana nna mattzo ya kiafya kidogo leo ngependa niwah kupumzika
Huki kwema kabisa brother.Hujakosea rafiki, habari za roof of Africa
Chama gani mkuu.Poa, hivi ulisema unashikilia ngazi gani kwenye kile chama chenu pendwa?
