Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo jaman tuncheki makabila kumi ambayo yamegoma kabsa kuacha tamaduni zao na kuji changanya na watu wengne wa duniani

Yaan siyo yana tunza tamaduni tuu bali hawataki mtu yyte mpya au tamaduni yyte mpyaa kabsaa kabsaaa

Yaan Isolated Tribes That Avoided Globalized Civilization

Number 10, The Surma Tribe
77ff2c8c5a447f7e3f0d20b557e49e24.jpg


Hawa wanaishi, South Sudan na kusini ya Ethiopia. Kabila hili Linajumisha makabila ya Nilo-Saharan-speaking Suri, wa Mursi na wa Me’en.

Ukitaka kugombana nao waambie neno serikali wao mara nyingine huwepo ethiopia na mara nyingne hurudi sudani kusini, wanaish kwa kufuga ng'ombe na ni utamaduni wao kwa miaka zaid ya 200, toka vita za dunia ,ukoloni, uhuru mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe haija wahi kuwa toa kwemye maisha yao na utamaduni wao
 
Number 9, The Jackson Whites
d6a98ba71db0ebf9c26c4fe2ac74e294.jpg


Hawa ni mchanganyiko wa wahidi wekundu na wazungu walio kuwa watumwa ambao walikimbia utumwa huko Marekani miaka ya 1700, inakadiriwa mpaka sasa wako zaid ya 5,000, mara yao ya mwisho kupigwa picha na mtu yyte ni mwaka 1911wanaishi kwenye milima huko New Jersey na Rockland County huko kusini mwa New York
Wao hujiita watu wa milimani
 
Number 8, The Lone Brazilian
6827b2872cf6fc88fb57321c03f054ea.jpg

Hili ni kabila la mtu mmoja ambaye anaishi huko misitu ya Amazon
Anadhaniwa kuwa niye mtu aliyejitenga zaid kuliko wote duniani, cha kushangaza ni kuwa wakat wana sayansi wakidhania kumuona, hupotea ki maahab maajab na huonekana matembeleo ya mguu wake mmoja tuu

Yeye ana tafutwa sana kwani ndo masalia pekee ya kabila lake anajua lugha hiyo peke yake , tamaduni, na namna ya kiajabu ya kuish ndo inafanya wana sayans kuendelea kumtafuta mpaka leo
 
Number 7, The Man of the Hole
d7d60ffcd5bd83ab51b1796d6b9a4922.jpg


Huyu naye huonekana kwa nadra huko kusini mwa Brazili, mambo anayo yafanya na namna anavo ishi ni tofaut na wengine na wana sayans wana sindwa kujua ana ishje, ila tuu inadhaniwa yeye ndio mtu wa mwisho katika masalia ya kabila lake
Mi mwenyew nmeshndwa kujua anaishje ishje yaan
 
Number 6, Ishi – The Last of the Native Americans
67394361a43e3b9543c0e8ae1e4e7c62.jpg


Ni mtu wa mwisho wa kabika la Yahi, group la mwisho la wa Yana wa huko California. Na alijulikana kama “last wild Indian” huko America
Huyu hata jina hilo alipewa tuu na watu walio mwona kwani kwa kabila lake walikuwa hawapean majina na ilikuwa ni tabia mbaya kumuulza mtu ana itwa nan katika kabila lao
 
Number 5, The Brazilian tribes
d4c37fc0b35b1218dcc1a2ccd6124185.jpg

Haya ni makabila mbali mbali ya wa brazili wenyeji wanakadiriwa kwa sasa kufikia zaid ya laki 8 wa makabila zaid ya 238, wao huish makundi ya watu takriban hamsini
Wanaishi kwa kuhama hama huko misituni , wana tegemea kuwinda zaid, wanakadiriwa ikiwa wasinge pitiwa na mattzo kama ukoloni, magonjwa na vita wangekuwa wengi zaid huko baran Amerika ya kusini
 
Number 5, The Brazilian tribes
d4c37fc0b35b1218dcc1a2ccd6124185.jpg

Haya ni makabila mbali mbali ya wa brazili wenyeji wanakadiriwa kwa sasa kufikia zaid ya laki 8 wa makabila zaid ya 238, wao huish makundi ya watu takriban hamsini
Wanaishi kwa kuhama hama huko misituni , wana tegemea kuwinda zaid, wanakadiriwa ikiwa wasinge pitiwa na mattzo kama ukoloni, magonjwa na vita wangekuwa wengi zaid huko baran Amerika ya kusini
Asante sana Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom