Iandike kwa manenoMm nahitaji kukopesha sh.99910001583736833700000 alafu nitakurejeshea kesho hela yako
Je kama ya simu ya matejaTena mengine huwa ni makubwa.
Kuna mtu nyuma ya paziaHivi mimi ninakosa gani, au nmefanya nini?leo nmekesha hapa chit-chat alafu nashangaa napigwa Ban.![]()
Why?..nauliza tena WHY...!!![]()
Patience123 am dying hard for uLove does not ENVY or BOAST, IT NEVER ENDS....mbona Ni kawaida tu MPENZI Patience123 .
au kuna tatizo?
love
~ Tetramelyz ~
Hawawezi kukuonea lazima kuna mahali umeharibu halafu mtu akakureportMmh! ila siku hizi nmekuwa mtiifu hvyo sidhani kama nmekosea popote pale
We mkareeHata mm napiga hapa![]()
Kumbe mwongo, unadai umepigwa ban wakati uko online!Hawa mods naona ID yangu wanaifanyia majaribio![]()
Badili avatarYani zinaniandama balaa![]()
![]()
![]()
Asante wifi na kwako piaJioni njema
Sio kwa mashavu hayoMimi ndo yule kaka ako wa shule, au umenisahau?![]()
Hawawezi kukuonea lazima kuna mahali umeharibu halafu mtu akakureport
Nawe piaJioni njema
Now nko na stimu nzuri sana kichwani..We mkaree
ID yangu nnayoitumia inaitwa Jonax.Kumbe mwongo, unadai umepigwa ban wakati uko online!
Avatar yangu ya City boy siwezi kuiacha kamwe..Badili avatar
ila leo nahitaji pongezi kwa kweli mimi ndo MAN OF THE CHATTING leoSio kwa mashavu hayo