Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 1,
3ea82636373f1b76d13aa10d238c596c.jpg

Hawa wanaishi huko kwenye kisiwa kati ya India na Thailand
Wao hawajulikani maisha yao kwan hakuna aliye wahi kuwasogelea alaf mshale wa sumu uka mkosa, wameish zaid ya miaka 60,000 hapo hapo kwenye kisiwa
Picha hiyo walipgwa mwaka 2004 wakati wa tsunami na waligoma kutoka na bado wali survive

Inadhaniwa wanaish kwa kuvua samaki, kuwinda na pengne kulima

Ni moja ya watu ambao hawajawahi kumuhifadhi hai mgeni wao yyte
Hivo hawa ndo watu walio jitenga zaid kuliko woote
Hawa Mafia aisee
 
Jaman nawaheshim woote
Asanten sana , leo nme leta top ten za kusoma zaid mjikaze

Mlikuwa nami Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Na sign off hadi wakat mwngneee
Wamasai je[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]

Asante sana best.....
Uwe na wakati mzuri sana
 
Back
Top Bottom