Makapuku Forum

Makapuku Forum

*When you dating an educated and civilized woman who has class and ambition, you get texts such as these:*

1. Morning Dear, Hope you had a wonderful night. How are you today? Wake up get ready for work. Dont forget to send your application for the job I told you about yesterday.

2. Yes Darling, I miss you so much, i hope you're enjoying your day, I am heading out for lunch. Talk later. Take care of yourself. Love you!

3.Yes dear I am at the shop doing grocery for the house, next time I am coming with you.

4.Dont put yourself under pressure my love, i know you will achieve your goal, you have my full support.

*THEN THOSE WITH JUST A BIRTH CERTIFICATE*

1. Morning babe, send me some airtime, plz bae.

2. Hello sweet babez I am coming over for some pizza over lunch? And someone is selling nice perfumes can I take one plz. Luv u xoxoxo much.

3. Hey handsome, buy me data plz. Also wanted to tell you my neighbor is selling skinny jeans, nice shoes from USA and brazilian hair. You will let me know when you are ready to get me these. Loving u lots.

4.Me and my friends want to go to Cafe javas for drinks, I need some money.

5.baby I don't feel like reading, can we chat pliiiizz.
 
Japo siona sababu ya kugombana , maisha menyewe mafupi, nashukuru kwa hilo mkuu
Usilete ubishi wako UACHE TABIA YA KUPENDA SIFA KWA KUSHINDA KWENYE THREAD MASAA 24 NA KUITAITA MAJINA TU NA KUTAKA KUREPLY KILA POST .....Jirekebishe unaudhi watu
Siongei maneno mengi
.................
 
Number 5, Khagendra Thapa Magar - 26 inches
ae08968177cc250a5bfde8a72b6c34a3.jpg

Huyu yeye ni kijana wa nepal na aliwahi kutangzwa mtu mfupi kuliko wote duniani mwaka 2010 lakin alikuja kupoteza ubingwa huo kwa wababe wengine, ana mattzo ya premordial dwarfism. Daktari alimpima na kugundua ana mwili wa mtu mwenye miaka mi 3, lakini ana akili pia za mtu mwenye umro huo huo, mattzo yake yamemfanya asiweze masomo, kwani toma
2009 mpaka sasa ana soma chekechea huko Nepal na hajua kusoma wala kuandika bado, ila ni mzuri katika kusakata rumba


Number 4, Madge Bester - 25.5 inches
8e113fc245b7ee3493ba0119f412142a.jpg


Ni mu afrika ya kusini, na mwanmke mfupi kuliko wote Afrika
Alizaliwa mwaka 1963, yeye hutumia wheelchair kutembea

Ana fahamia kwa msemo wake maarufu wa kiinglish unao sema
“My message to you is to take charge of your life. Forget your disabilities and use your abilities.”
 
Km huelewi its OK
sina muda wa kupoteza
Endelea kuwa kero na ubishi wako
..........
Nielewe kitu gani wew, ukitaka niripoti nifungiwe kama navunja taratibu. wew acha visasi na tabia za kihaya, unataka uheshimiwe but kichwani ndo hivyo tena..0.. kwa taarifa yako unaudhi wengi kushinda mimi, na kwa mwenendo huu utabaki na mkeo humu
 
Japo siona sababu ya kugombana , maisha menyewe mafupi, Siko hapa lisais likes na ikiwezekana endelea kuwahamasisha wajinga wasilike, wanaojitambua watanipa, au hata wasilike kwani hazinisaidii, mwisho nakushuku kwa hekima yako hiyo mkuu
Kuwa na subira my X sweebaby... we are the same but not equal... Be patient... Kumbuka kuwa Patience anakupenda
 
Mkuu siku zote mahali penye watu wengi panakuwa na mengi pia,

Kumbuka hapa tuko watu tofauti tukiokulia na kulelewa katika malezi tofauti pia,

Wengine wanapenda utani, wengine hawapendi,
Wengine tunapenda ila usizidi kipimo

Nadhani sio watu wote wenye ujasiri wa kumpa mtu ukweli pale wanapoona mambo sio, labda ndio maana walilalamika


Pia nimeona kama umexegarate kidogo ukamhusisha mpaka pattience

Relax and have a glass of wine
One love
Mtu asietaka Utani asije kwenye uzi wenye Utani kuepuka kukerwa.
 
Habar za usiku wakuu, baada ya maombi ya wadau kuwa top ten ya watu wafupi zaid duniani, nimeona ni bora nisicheleweshe ombi hilo

NB, picha hazija kaa sawa kwa sababu za kimtandao nawataka radhi kwa hilo

Number 10, Stacey Herald - 28 inches
ee9304f6a96bba8c5338a10578c23bb1.jpg


Huyu yeye alizaliwa Kentucky , huko USA, na ana tatizp linaitwa osteogenesis imperfecta, ameolewa na mwana mazoez mmoja mwenye fut 5 na nchi sita
Kuanzia mwaka 2005 hadi 2009 alijifungua watt wa kike watatu
Wa wili wali rithi ugonjwa wake
Huyu mmoja ni mzima ana amshinda kulea kwa sababu anakua haraka kumzidi yeye

Number 9, Hatice Kocaman - 28 inches

203f2b2a1011e35878935fab4d1fc0d8.jpg


Alizaliwa huko uturuki, ana mattzo ya ukuaji wa mifupa yaan genetic bone conditions, yeye anasema akiwa mdogo ali hate ufupi ila kwa sasa kwa kuwa ufupi unampa umaarufu anahis angekuwa mfupi zaid ingekuwa poa zaidi
Kama vitoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom