Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 8, Edward Niño Hernández - 27 inches
951b7c0cd145c405382cffada52c0e90.jpg


Huyu yeye yuko Colombia alizaliwa akiwa na nchi 15 na mwisho wake kurefuka ikiuwa ni mwka 1988 alipo kuwa ana miaka mi 2, aliacha shule kwani ana ugonjwa unao itwa cataracts unao sumbua uono wake pia kwa kuwa ana vidole vidogo hushinwa kuandika

Lakin amedai ana mpenzi wake mwnyw miaka 18 na ana moenda kweli kweli

Number 7, Bridgette Jordan - 27 inches
72d7c48366a6a0639fee30c256511a57.jpg


Yuko illinois, yeye ana kaka yake ambaye ana nch 38 na hupenda u cheer leader na hupenda mitindo ni mwana funzi wa Illinois University
Ana ttzo la Majewski osteodysplastic primordial dwarfism type II, ambayo ni aina adimu ya primordial dwarfism, udwafu ambao humpata mtu mmoja kati ya million tatu

Number6, Lin Yü-chih - 26.6 inches
9677153a0666a9a41ad068c70aa80139.jpg


Ni kijana wa Taiwan alizaliwa mwaka 1972, hakujiona ana ttzo mpaka alipo fika huko taipei na kuhudhuria kongamano moja, hapo alijigundua kuwa ana umwa ostagenosis imperfecta, ni mwandish wa vitabu pia mwana harakati huko Taipe, ila mwenye husema anajionaga yukp furesh tuu kama watu wengine

Ugumu wa mifupa yake unakadiriwa kuwa sawa na ugumu wa mifupa ya kinyoga
Duuu kweli kuna watu wafupi
 
Number 3,Jyoti Amge - 24.7 inches
dc7efec4453aa30c1991e9bf018808db.jpg


Amge alizaliwa mnamo mwaka1993 huko Nagpur, India ana ttzo linalo itwa achondroplasia
Yeye baada tuu ya kushereheka mwaka wake 1 wa birthday hakifamikiwa kukua tena zaod zaod alipungua, siku zote amekuwa akitaka kuwa muigizaji na ana ndoto ya kuchukua tuzo za Oscar zile za hollywood na amesema lazima zitimie(hayo na mwachia mwenyewe)
Pia kati ya watu wafupi huyu inaonekana ana akili kiswa sawa kwani kachaguliwa kujiunga na open university of India

Number 2, Junrey Balawing - 23.6 inches
257e4e68be777d8a5c343300e13b9533.jpg


Mnamo mwaka 2011 alipo fikisha miaka 18 alifanikiwa kueka rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote duniani, japo ilikaa kwa mwaka oja tuu,
Inasemekana ana uzoto wa takriban kilo 5 na nusu ana sadikika kuwa na ugonjwa wa endocrine- or birth-related defect. Kwa kuwa mifupa yake si migumu hawez kusimama mpaka ajishike pahala, hata hivo japo huhitaji msaada wa wazazi , akiwa nyumbani husaidia kulisha mifugo yao hasa kuku

Yeye ni wa ufilipino huko kwa kina Angelo, Yna na redburterfly
9c9283e811ece33dc95a34a0c56a3bbb.jpg
 
Mbona tutakimbia forum!!!....ina maana nikianza kuzoza na Lizzy watu wanapanic mkuu???....ndiioo maana kuna member aliniita Licongo!!!....duh maajabu!!!
Hakuna cha malalamiko huyu dogo anataka sifa tu, afungue forum yake, huu ni uzi tu. Na hapa tunatengenezea watu wengine pesa, ni ujinga kugombana shiit
 
Hamna mwenye hati miliki ya huu Uzi bwana.

Hebu wekeni mashitaka Yake kafanyaje huyu binti??? Hao wanashitaki huko pm kwann wasiseme hapa??

This is chitchat aisee we're not serious at all.....

Bitoz hapa unazingua totally...
Naamini hvyo maana huna haki ya kumuita mwenzako kifaru serious

Kwann unamwita kifaru?? Kwa hizi joke??? Kwa utani or??

Honestly if isn't wivu Basi kuna something else...
Forum huru kabisaa kama wakongwe wanatabia ya kutukana kapuku....Leo kapuku anamwita mwenzake kifaru???

Nooo.... Hamna mtu mwenye haki sawa zaidi ya mwenzake.

Haata kama anamakosa ndio kumuita kifaru??? We ukiitwa mbwa utajisikiaje???

Dah totally disappointed.....


Kuondoa unafiki tangu mwanzo ulitakiwa kumueleza ukweli ili ajiteteee n wote tuone...

Nlikua naona tuu Mara kwa Mara kifaru kifaru...kumbe unamlenga kapuku Fulani??? Dah tumefikia hapa??? Malalalmiko yapo inbox??? Kaa sio unafiki n nn?? Why not here??? Open....

My take
MTU akifanya kosa au akiwa anafanya mambo ambayo wengine hawapend this is open forum aambiwe ajiteteee sio kuitana majina ya ajabu Tabia za wakongwe hizo

Leo kaitwa patience kifaru kesho sijui nan ataitwa jina lingine.

I have just count it as udharilishaji

Bitoz
jambilo
Th Name
Jimena
amaizing
@lizziebetie
manuu

All.....
Nini mbaya
 
Number 1, Chandra Bahadur Dangi - 21.5 inches
f726ca2fa70021c036bf2bced9b177c5.jpg


Mnamo mwaka 2012 huyu ndo aliweka rekod kwenye kitabu cha genesis
Alizaliwa mwama 1939, ana ugonjwa wa premodial dwarfism, ambao una mfanya kila kitu kwenye mwili wake kuwa kifupi
(i mean kilaa kituu)
Na alipo ulizwa kama hakujua kuwa ni rekodi kwa miaka yote alisema kwakuwa yeye kazaliwa nepal vijijin asingweza kuwapata hao watu wa kumpima na ndugu zake wote hawajawahi kwemda shule so hawakujua kabsa mambo ya rekodi ya dunja

Na huyo ndio namba moja wa leo
 
Number 5, Khagendra Thapa Magar - 26 inches
ae08968177cc250a5bfde8a72b6c34a3.jpg

Huyu yeye ni kijana wa nepal na aliwahi kutangzwa mtu mfupi kuliko wote duniani mwaka 2010 lakin alikuja kupoteza ubingwa huo kwa wababe wengine, ana mattzo ya premordial dwarfism. Daktari alimpima na kugundua ana mwili wa mtu mwenye miaka mi 3, lakini ana akili pia za mtu mwenye umro huo huo, mattzo yake yamemfanya asiweze masomo, kwani toma
2009 mpaka sasa ana soma chekechea huko Nepal na hajua kusoma wala kuandika bado, ila ni mzuri katika kusakata rumba


Number 4, Madge Bester - 25.5 inches
8e113fc245b7ee3493ba0119f412142a.jpg


Ni mu afrika ya kusini, na mwanmke mfupi kuliko wote Afrika
Alizaliwa mwaka 1963, yeye hutumia wheelchair kutembea

Ana fahamia kwa msemo wake maarufu wa kiinglish unao sema
“My message to you is to take charge of your life. Forget your disabilities and use your abilities.”
Toka 2009 yuko chekechea na hajui kusoma wala kuandika
 
Number 1, Chandra Bahadur Dangi - 21.5 inches
f726ca2fa70021c036bf2bced9b177c5.jpg


Mnamo mwaka 2012 huyu ndo aliweka rekod kwenye kitabu cha genesis
Alizaliwa mwama 1939, ana ugonjwa wa premodial dwarfism, ambao una mfanya kila kitu kwenye mwili wake kuwa kifupi
(i mean kilaa kituu)
Na alipo ulizwa kama hakujua kuwa ni rekodi kwa miaka yote alisema kwakuwa yeye kazaliwa nepal vijijin asingweza kuwapata hao watu wa kumpima na ndugu zake wote hawajawahi kwemda shule so hawakujua kabsa mambo ya rekodi ya dunja

Na huyo ndio namba moja wa leo
Asante sana

Hapo kwenye mfupi kila kitu naona pana msisitizo zaid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom