Makapuku Forum

Makapuku Forum

4b2ee1eb4d7f44639a095ef1fcc92436.jpg

Pale ukifaru unapozidi

.....
 
Patience123 uko wapi mpenzi wangu
Hivi kweli wewe ni mtu nzima ....nimechoka ukifaru wako wa masaa 24 ukiambiwa hujirekebishi ndio sababu wadada wanakimbia thread 7bu ya ukifaru wako
Mimi km Kiongozi kazi yangu kuweka mambo sawa ....sipendi kuona thread inapoteza heshima sababu ya mtu mmoja
Km huna kitu cha kupost bora ulale
Nina malalamiko mengi PM kuhusu wewe inasumbua watu
...............
 
Unakosea, namtania patience sababu ananielewa na anajua ni utani, hakuna zaidi ya hapo
 
Unakosea, namtania patience sababu ananielewa na anajua ni uranium, hakuna zaidi ya hapo
Nimekuquote ww sio post
Kimfupi ww ni kero humu
Binafsi lengo la thread ni kuunganisha watu lakini nimekuvumilia na huelewi kitu
Sipendi cukii na mtu ila nakwambia ukweli ili kulinda uhai wa thread na sio kumlinda mtu
Ngumu kumeza
..................
 
Hivi kweli wewe ni mtu nzima ....nimechoka ukifaru wako wa masaa 24 ukiambiwa hujirekebishi ndio sababu wadada wanakimbia thread 7bu ya ukifaru wako
Mimi km Kiongozi kazi yangu kuweka mambo sawa ....sipendi kuona thread inapoteza heshima sababu ya mtu mmoja
Km huna kitu cha kupost bora ulale
...............
Hamna mwenye hati miliki ya huu Uzi bwana.

Hebu wekeni mashitaka Yake kafanyaje huyu binti??? Hao wanashitaki huko pm kwann wasiseme hapa??

This is chitchat aisee we're not serious at all.....

Bitoz hapa unazingua totally...
Naamini hvyo maana huna haki ya kumuita mwenzako kifaru serious

Kwann unamwita kifaru?? Kwa hizi joke??? Kwa utani or??

Honestly if isn't wivu Basi kuna something else...
Forum huru kabisaa kama wakongwe wanatabia ya kutukana kapuku....Leo kapuku anamwita mwenzake kifaru???

Nooo.... Hamna mtu mwenye haki sawa zaidi ya mwenzake.

Haata kama anamakosa ndio kumuita kifaru??? We ukiitwa mbwa utajisikiaje???

Dah totally disappointed.....

Kuondoa unafiki tangu mwanzo ulitakiwa kumueleza ukweli ili ajiteteee n wote tuone...

Nlikua naona tuu Mara kwa Mara kifaru kifaru...kumbe unamlenga kapuku Fulani??? Dah tumefikia hapa??? Malalalmiko yapo inbox??? Kaa sio unafiki n nn?? Why not here??? Open....

My take
MTU akifanya kosa au akiwa anafanya mambo ambayo wengine hawapend this is open forum aambiwe ajiteteee sio kuitana majina ya ajabu Tabia za wakongwe hizo

Leo kaitwa patience kifaru kesho sijui nan ataitwa jina lingine.

I have just count it as udharilishaji

Bitoz
jambilo
Th Name
Jimena
amaizing
@lizziebetie
manuu

All.....
 
Nimekuquote ww sio post
Kimfupi ww ni kero humu
Binafsi lengo la thread ni kuunganisha watu lakini nimekuvumilia na huelewi kitu
Sipendi cukii na mtu ila nakwambia ukweli ili kulinda uhai wa thread na sio kumlinda mtu
Ngumu kumeza
..................
Je! Tuchangie mpira tuu!!
Linamo au patience wamelalamika?
Usidhani sijui kutema mbovu bali napenda kustahi watu kama wew, na nilielewa mda mrefu unanisema but nilitamani utoboe.
Ninakuheshimu kama mtz mwenzangu. Tuheshimiane
 
Usiandike maneno mengi sijasema namiliki uzi mkuu wote ni familia moja na nawapenda wote na mimi sio MUNGU .....mtu anaharibu namweleweaha na akijerekebisha maisha yanasonga
Mwambie basi ajitetee
.........
 
Nimekuquote ww sio post
Kimfupi ww ni kero humu
Binafsi lengo la thread ni kuunganisha watu lakini nimekuvumilia na huelewi kitu
Sipendi cukii na mtu ila nakwambia ukweli ili kulinda uhai wa thread na sio kumlinda mtu
Ngumu kumeza
..................
Hamna cha ngumu kumeza Wala Nini acha Tabia za kuita watu kifaru Tabia mbaya....kwani umeshindwa kumueleza??? Paka umuite vitu vya ajabu....
 
Je! Tuchangie mpira tuu!!
Linamo au patience wamelalamika?
Usidhani sijui kutema mbovu bali napenda kustahi watu kama wew, na nilielewa mda mrefu unanisema but nilitamani utoboe.
Ninakuheshimu kama mtz mwenzangu. Tuheshimiane
Mkuu sijasema mjadili nini
Km maelezo yanavyosema post # 3 kila kitu kinaruhusiwa isipokuwa unakwaza watu
.........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom