Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wengine tuna midevu ila tunajichanganya kuondoa stress hvyo Tuheshimiane kwa kila mmoja wetu mambo ya pm na malalamiko ya pm malizianeni pm haina maana ya kudhalilishana wakati tu Familia moja

AMANI ITAWALE

SOTE TU WAMOJA
 
Umekomalia hilo neno tu
.............
Limenikera....umezinga
Hilo ndo swali la msingi siyo majibizano ungeuliza mapema ningekujibu vizuri ila
..........
Haata usipoeleza ila nshakwambia..acha kuita watu majina ya ajabu....full stop

Kama umeshindwa kumueleza mtu utulie acha kuita wenzako wanyama

Alafu sababu hutoi....

We ndio jaji?? Humu unahukumu
 
e3a71d3d34c708d89095ea60d4ea51de.jpg

Le akili ndogoz akiwa kwenye msiba wa mama yake
Msiba umemgharimu billion 3
..........
Bilioni tatu labda ya Zimbabwe
 
Wengine tuna midevu ila tunajichanganya kuondoa stress hvyo Tuheshimiane kwa kila mmoja wetu mambo ya pm na malalamiko ya pm malizianeni pm haina maana ya kudhalilishana wakati tu Familia moja

AMANI ITAWALE

SOTE TU WAMOJA
Mkuu naheshimu PM na huwa sisemi ninachoambiwa wala kumtaja anayeniambia
Nilichofanya ni kutoka kuweka mambo dawa tu
Hakuna ugomvi ...acha turekebishane kidogo
One Love
Relax
........
 
Hizi ni joke tuu kumbe watu wanaelewa vibaya??? Dah
Mkuu siku zote mahali penye watu wengi panakuwa na mengi pia,

Kumbuka hapa tuko watu tofauti tukiokulia na kulelewa katika malezi tofauti pia,

Wengine wanapenda utani, wengine hawapendi,
Wengine tunapenda ila usizidi kipimo

Nadhani sio watu wote wenye ujasiri wa kumpa mtu ukweli pale wanapoona mambo sio, labda ndio maana walilalamika


Pia nimeona kama umexegarate kidogo ukamhusisha mpaka pattience

Relax and have a glass of wine
One love
 
Yapo rundo na NIMESEMA KUNA MALALAMIKO PM sijasema wanalalamika nini
............
Yaishie huko huko....ukiyaleta humu utaleta mgongano....na ugomvi....

Kama mtu anaona sio vema kusema hapa....then usilete hapa Haata nucta.
Kama kuna mtu analalamikiwa pm kamueleze pm huko...

Ukiamua kuleta hapa Basi leta full issue tujadili....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom