amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
ShemdarlingSalama kabisa kaka. Habari ya siku vipi?
ShemdarlingSalama kabisa kaka. Habari ya siku vipi?
Kivipi tena?Nakuwa mzito kuchangia sababu ya kulazimishwa na mtandao
Nambie shemdarling. Mzima wewe?Shemdarling
Siku imekuwa njema sana tunashukuru karibu sana..Salama kabisa kaka. Habari ya siku vipi?
Safi sana my kakaHhahah Dada ndiyo maana nimekuambia nimekumiss mno...Ila nashukuru pia kwa nasaha zako..Na pia kwa busara za wifi yako amenisamehe kabisa kama nilivyo,,,Nampenda sana na nime-behave mno toka mida ile..
![]()
Le akili ndogoz akiwa kwenye msiba wa mama yake
Msiba umemgharimu billion 3
..........

Wow hapo safiMimi nina vinasaba na Hitler.
Yupi??Marhabaaa..yuko wapi yule pacha wako..![]()
Linamo..Yupi??

Wii nilishatoka Singida nikaenda Arusha,Nikaenda Machame nikaenda Karatu nkashuka ngorongoro,juzi usiku nikaenda Dar Jana usiku nimerud Nyanda za Juu KusiniHivi bado uko Singida??

Argentina nawaelewa japo mi nawapenda Mexico![]()
![]()
Leo USA vs Mabingwa Argentina

Tuko pamoja sana my dada...Safi sana my kama
Mi napenda hii couple ibaki katika ubora wake siku zote
Maana ni miongoni mwa kapo za kuigwa
Ni binamu yanguLinamo..![]()
Hahahahaaa.... Naona jamaa anaenda kutafuta kazi huko Dar. Huku ndo kunaitwa Kudandia roli bila nauli.![]()
Kifaru wa wapi huyu
.......
Kiroho saaafi take it positively...Sumbai nashukuru kwa kunichallenge Mimi naishia hapo kifupi jamaa ajirekebishe aache sifa
Mi naenda zangu kudowea futari
Nawapenda Makapuku na siyo mtu
.........................