Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sawa
.........
Kwa taarifa yako mimi ni mtata kushinda unavyofikiria, hata nikifungiwa kwa akaunti hii nitafungua hata kumi zaidi ni lale sambamba na wewe roho. Watu wanaunga kuwa na nguvu wewe unasambaratisha watu, watu wanaingia humu wew unawafukuza kwa maneno ya ajabu hadi jf makapuku tunahesabiwa kama mapunguani flan, jichunguze wewe, kwanza futa jina langu kwenye listi
 
0ff4b6904d17d1c1ef8a4b63df91c30e.jpg
 
Nielewe kitu gani wew, ukitaka niripoti nifungiwe kama navunja taratibu. Moroses wew acha ravis sa kihaya, unatake uheshimiwe but kichwani ndo hivyo tend, kwa taarifa yako unaudhi wengi kushinda mimi, na kwa mwenendo huu utabaki na mkeo humu
Be patient my dear... Pliz Jambilo... Wewe ni wangu sio wa mwingine...
 
Kwa taarifa yako mimi ni mtata kushinda unavyofikiria, hata nikifungiwa kwa akaunti hii nitafungua hata kumi zaidi ni lale sambamba na wewe roho. Watu wanaunga kuwa na nguvu wewe unasambaratisha watu, watu wanaingia humu wew unawafukuza kwa maneno ya ajabu hadi jf makapuku tunahesabiwa kama mapunguani flan, jichunguze wewe, kwanza futa jina langu kwenye listi
...............
 
Number 3,Jyoti Amge - 24.7 inches
dc7efec4453aa30c1991e9bf018808db.jpg

Amge alizaliwa mnamo mwaka1993 huko Nagpur, India ana ttzo linalo itwa achondroplasia
Yeye baada tuu ya kushereheka mwaka wake 1 wa birthday hakifamikiwa kukua tena zaod zaod alipungua, siku zote amekuwa akitaka kuwa muigizaji na ana ndoto ya kuchukua tuzo za Oscar zile za hollywood na amesema lazima zitimie(hayo na mwachia mwenyewe)
Pia kati ya watu wafupi huyu inaonekana ana akili kiswa sawa kwani kachaguliwa kujiunga na open university of India

Number 2, Junrey Balawing - 23.6 inches
257e4e68be777d8a5c343300e13b9533.jpg

Mnamo mwaka 2011 alipo fikisha miaka 18 alifanikiwa kueka rekodi ya kuwa mtu mfupi kuliko wote duniani, japo ilikaa kwa mwaka oja tuu,
Inasemekana ana uzoto wa takriban kilo 5 na nusu ana sadikika kuwa na ugonjwa wa endocrine- or birth-related defect. Kwa kuwa mifupa yake si migumu hawez kusimama mpaka ajishike pahala, hata hivo japo huhitaji msaada wa wazazi , akiwa nyumbani husaidia kulisha mifugo yao hasa kuku

Yeye ni wa ufilipino huko kwa kina Angelo, Yna na redburterfly
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom