Ila watu wana roho ngumu saana dahKinyaaa sana
Mi sina ujanja wa kijingaHa ha ungejaribu ndo ungekuwa mchezo wako
Naona unaanza kuelewa somo sasaUfundi wote alimalizia kwako, cjui uliumbwa asubuhi honey!!!![]()
Wako kule usukumaniHivi kuna watu bado wanalipa ng'ombe 30 kwa ajili tu ya rangi?
Jamani upasta nilishaacha, napiga zangu dili za dubai, na japani hasa pale Tokyo n'a mji wa kumamoto. Sale wa magari nipeni oda zenyuu
Yes....mpendwa nimesikia unaumwa amani kwqngu imepoteaCc:Sumbai
Mi mzima kabisa chief, mi nlidhani mipekeangu ndo namtilia shaka yule jamaa ka ni mchele mchelenakusalimia kijana.

Kama huridhiki na kidogo hata kikubwa huwezi ridhika nacho. Wadada wa mjini wanajifariji wakitoa ndogo mwanaume hamuachi na atahongwa Sana. Non sense.Mi sina ujanja wa kijinga
Too much is harmful
...........
Alivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia liaNa jua la alfajiri. Unang'ombe wa kutosha??
Nipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuuMie nipo wewe ndo umeadimika
Punguza uongo. Sidanganyiki ng'o

Hata rays haongiAlivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia
Pamoja kakakeNipo dadake, ugali na sukari vinapatikana kwa tabu sana awamu hii, ndo kinachoniadimisha mkuu
Hili ni tangazo la biashara mpenzi wanguuPunguza uongo. Sidanganyiki ng'o![]()
![]()
![]()

Wako kule usukumani
kama ni upande ule sawa mana huwa wanachelewa sana kuendana na hii kasi ya mwendo kasiKwani hili jukwaa matangazoHili ni tangazo la biashara mpenzi wanguu![]()
![]()
![]()

Dah hao watanga Hiyo kitu kawaida saana....kuna Jamaa yangu alikuaa na Toto Shombe Shombe one day akamuuliza hivi huku kwengine unataka nan apasugue??? Jamaa alikimbia balaaaMtanga mwana
![]()
![]()
![]()
.............
Kwa hilo ni uongo hata mkeo anajua bado nafadhili hadi Ndg saké, wengine bado wanaosha magari kwa yard yanguAlivyo mgumu huyo Haata akiambiwa atoe jogoo tuu atalia lia
Una ranch au lunch??? Nahis umekosea kutyp....Ohoo nina ranchi yangu, ongea na Manuu pembeni atakupa ubuyu, pia valentina Dadake mie naye atakwambia![]()
![]()