briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Pamoja sanaPamoja kakake
Pamoja sanaPamoja kakake
Huwa hawaachi asili ndiyo maana wamasai bado wanachumbia tumboni. Ila hawa ndo wananiachaga hoi maana hajui kafanana vipi lakini anachumbia![]()
![]()
![]()
kama ni upande ule sawa mana huwa wanachelewa sana kuendana na hii kasi ya mwendo kasi
Ohoo kuna kapuku wako Njema nami matos punguzo kwa makapukuKwani hili jukwaa matangazo![]()
![]()
![]()
Kusini wanaatoaga Nini???Utaenda kuoa kusini![]()
![]()
![]()
![]()
Lol msiwaharibie wenzenu hivyo ujue watakimbiwaDah hao watanga Hiyo kitu kawaida saana....kuna Jamaa yangu alikuaa na Toto Shombe Shombe one day akamuuliza hivi huku kwengine unataka nan apasugue??? Jamaa alikimbia balaaa
Hao kambale wanakuza makalio nlisikia!!! Ni kweli et??Bora nilishwe kambale wachafu wa Mabibo lakini sio makalio
BIG NO
..............
Kule mahari 50Kusini wanaatoaga Nini???
Duh fake fakeOhoo kuna kapuku wako Njema nami matos punguzo kwa makapuku
Nipe ABC za kusini huko nianze kuchanga karataHa haaaa kaoe kusini
Umeonaa er, patience123 kapata KIMEOYani usije ukatongoza
Hawana gharamaNipe ABC za kusini huko nianze kuchanga karata
Alafu kweli nmesikia huku Mwanza wazee kazi kuwafatilia mabint zao... Kukudaka n very izeYani usije ukatongoza
UnajifunzaUtaweza kuwa pet pet?
Jamni wanionea mtoto wa mke mwenzioDuh fake fake
Watu Wa lakezone hao....linamo anajua hizi habariHivi kuna watu bado wanalipa ng'ombe 30 kwa ajili tu ya rangi?
Ngoja aje bitozHao kambale wanakuza makalio nlisikia!!! Ni kweli et??
Eti......Jamani upasta nilishaacha, napiga zangu dili za dubai, na japani hasa pale Tokyo n'a mji wa kumamoto. Sale wa magari nipeni oda zenyuu
Nyan amekula kambale Wa hapo mabibo![]()
Mmemuona huyu jatibujaribu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Nimeacha ufake sasa naishi maisha yangu , soma script elewa scriptEti......
Mkuu unaacha kutumika kwa sababu ya hawa watu???