Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Jina langu ck hizi ni JoyousHapana aiseee jina kwangu linamata Sana.
Jina langu ck hizi ni JoyousHapana aiseee jina kwangu linamata Sana.
Mmh! Kijana naona unatupia nyavu baharini pasipo kufanikiwa kuvua samaki!U mrembo Lakini![]()
Mungu hamuepushi mtu na chochote.Na hilo ndo la msingi kumuombea Mungu amuepushe maana swala la kuacha madawa ni maamuzi ya mtumiaji mwenyewe kwanza halafu wengine ndo wanaplay part yao.
Eeeeeh.....!Si uokoke![]()
Lakini Kama atajirudi Mungu lazima atamuepusha.Mungu hamuepushi mtu na chochote.
Tunavuna kile tunachopanda
Acha dhambi bhana, ulipewa ili utoe mpenziKula kwa macho![]()
![]()
![]()
Yule akishaanza kupiga show na ku-make mkwanja hapo sasa ndo atarudi kuleeeeeKabisa maana wakimuacha kidogo tu atarudi kulekule
Lol kila mtu na chakeAcha dhambi bhana, ulipewa ili utoe mpenzi
Nzuri tu,habari za rock cityMorn kaka Yake lulu
Jamanii unaniharibia ck sweet ieeLol kila mtu na chake
Sijakuambia kuwa nataka la magharibiJina langu ck hizi ni Joyous
Huwezi wewe, patience123 nilimfukuza kwani hajatulia, huyu hatoki, nnmilikisha vyoteee
mfa maji....Na wanaosex kinyumenyume wana makalio yanayowasha kuliko wengine?Utakuwa hujanisoma vizuri nimesema hata hao watumiaji ni tatizo Lakini tatizo kubwa pia lipo kwa hao drug dealers.
Usiogope utanikatia la kifipaSijakuambia kuwa nataka la magharibi
Aiseeeee.....Umri hauruhusu
Hakuna kitu kama hicho.Kweli hapo atalaumiwa mtumiaji lakini kwa upande mwingine wauzaji ni tatizo tusiseme tu kwa nini atumie tujiulize Kama wasingeuingiza nchini wangeutumia? Hata Kama kungekuwa na mateja lakini si kwa kiwango ambacho kiko sasa. Mbaya zaidi hawa ma drug delears ni watu wenye nyadhifa kubwa.
Ujanja gani wewe unaokota vilivyotupwaa???![]()
![]()
![]()
![]()
mfa maji....
Ngoja tukupe maujanja....