Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Mimi ctumii cm, natumia mawasiliano ya asiliHahahaa
We Jambilo jifariji hvo hvi akat awam yako haija fika
Cc Dr mwaka
Mimi ctumii cm, natumia mawasiliano ya asiliHahahaa
We Jambilo jifariji hvo hvi akat awam yako haija fika
HahahahaMimi ctumii cm, natumia mawasiliano ya asili
Cc Dr mwaka
Umepotea sana mkuuKwema wakuu, naona mnaendelea na mkesha wa TCRA?
Kupumzika kwemaUsiku mwema
Nipo mkuu, sema tunapishanaUmepotea sana mkuu
Poa poa, mkuu nna bro wangu mmoja anaishi chuga anapenda kujiita mandelaa afu na we ushawai kusema humu unaishi chugaNipo mkuu, sema tunapishana
Ujumbe umefika, ila sasa ukitaka kubadilisha line sijui itakuaje?Nasikia kweli wamezima ila utagundua kama simu yako ni ni feki pale utakapoizima maana ukiiwasha itakuwa haiwaki.... Kwahiyo kuweni makini msizizime simu na hakikisha muda wote inakuwa na chaji
Sasa imekuaje hadi hizo nyingine zikabakia?hadi sasa IMEI fake 315,670 zimeshakatiwa NW.. bado kama imei 340,000 zoezi likamilike.
Kumbushia leoJana nlitoa sanduku la posta
LolNaona itatumwa kwa SMS.
![]()
![]()
![]()
AiseeeeLazima aichungulie, umeme ukikatika inapoteza kumbukumbu mpaka uirest
Nipo Arusha, mkuu broh wako yupo Arusha maeneo yapi?Poa poa, mkuu nna bro wangu mmoja anaishi chuga anapenda kujiita mandelaa afu na we ushawai kusema humu unaishi chuga