shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Lazima aichungulie, umeme ukikatika inapoteza kumbukumbu mpaka uirestKitu automatic
Lazima aichungulie, umeme ukikatika inapoteza kumbukumbu mpaka uirestKitu automatic
Pamoja sana madame.Asante sana sana [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Wenye maduka ya kuuza simu kuanzia kesho wataanza kupata neema.Kuna waliokwishapewa warning? Hao kesho wakatafute mpya kabisa maana hakuna namna
Ni kama wanamsubiria Mkombozi Yesu Kristo akija mawinguni vile.Hawalali mpaka wajue kama ni mbivu au mbichi
Teh teheee.... lol!Hahahaha
Au yule mzimaji kaenda na mshine hom!!?
Ikifka saa sta ana press button
Anaangalia saa tu,na [emoji485] pembeni
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Lazima aichungulie, umeme ukikatika inapoteza kumbukumbu mpaka uirest
Ahaaa... Sijaiona hiyo post.Jana nlitoa sanduku la posta
Bitoz majirani wamekaza kabisa![]()
Full Time
................
Kikauzu kichiziBitoz majirani wamekaza kabisa
[emoji41] zimebaki dk 3 TCRA wafanye vyaonko hapa nahesabu waliokuwa wanatumia cm fake![]()
German wachezaji wengine niwa Poland, wamewekea heshima tuKikauzu kichizi
.............
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu akijalia tutakutana tena