EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,511
[emoji12]
[emoji12]
Asante sana sana [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hongera sana madame kwa kupost 54k.
Asante kaka.Karibu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119]24/7
Utakuwa wapi sasa teh tehee...Nishakua MTU mzima sasa, mambo ya whatsap, instagram, tweeter na Facebook nawaachia vijana mi naangalia familia sasa.
nawaageni rasmi....[emoji124]
Kuna waliokwishapewa warning? Hao kesho wakatafute mpya kabisa maana hakuna namnaTCRA wanaijua vizuri hata sms haijatumiwa
Saa 9 alasiri. Na hii ni issue maalum, hawatakuwe wote ofisini.Hivi kwan hao TCRA mda wao wa kazi mwisho saa ngap!!?
Hawalali mpaka wajue kama ni mbivu au mbichiNaona watu wapo kwenye mkesha wa kuzima simu.
[emoji23] [emoji23]
Hata wewe??Me too
Wapo wengi tuKuna waliokwishapewa warning? Hao kesho wakatafute mpya kabisa maana hakuna namna
Hahahaaa....Nawewe ya kwako ni ya [emoji690] [emoji698] [emoji705] [emoji694] [emoji693] [emoji699] [emoji697] [emoji698] [emoji693] [emoji694] [emoji695] [emoji695] [emoji696] ???
Hahahaha24/7
Hongera sanaa najikiskia furaha kwel kwelAtawahi.....
Hao sasa wana uhakika wa kukatwaWapo wengi tu
Anaangalia saa tu,na [emoji485] pembeniHahahaha
Au yule mzimaji kaenda na mshine hom!!?
Ikifka saa sta ana press button
Jana nlitoa sanduku la postaUtakuwa wapi sasa teh tehee...
Kitu automaticHahahaha
Au yule mzimaji kaenda na mshine hom!!?
Ikifka saa sta ana press button
Mi walikuwa wana ntumia alaf wana taja had jinaHao sasa wana uhakika wa kukatwa
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Anaangalia saa tu,na [emoji485] pembeni
Naona itatumwa kwa SMS.Sasa kesho 10 bora itakuwaje??