EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,511
Ni wazuri asee.![]()
Village beauty
........
Ni wazuri asee.![]()
Village beauty
........
Huyo Mhindi alikuwa balaa.Leo tuna cheko watu warefu kuliko wote duniani
Hii list ina jumuisha miaka yote
Number 10, Vikas Uppal (8 ft 2 in or 2:49 m).
![]()
Alizaliwa mwaka 1985 na alifariki mwaka 2007 huko kwao india, mpaka ana fariki alikuwa ndo muhindi mrefu kuliko wote kwao huko
Number 9, Don Koehler (8 ft 2 in or 2:49 m).
![]()
Mpaka ana fariki alikiwa ndo mtu mrefu kuliko wote miaka ya 1970, lakini ana pacha wake wa kike ambaye ana futi 5 na nch 6 tuu
Babu yangu alikuwa mrefu sanaMi mwenyewe sja bahatika kukyta mtu mzee alafu mrefuuuu
mababu, Wengi wana kuwa wa wastani tuu, werefu sana huwa wana ondoka mapemaa
Kesho naanza diet maana nimeanza kunenepaNi ukweli mtupu ht wanene pia usepa mapema
.........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweliFidel Castro nayeye ni mrefu,bado anadunda
Mkuu kuna kipindi nilikuulizia sana hapaKama kawa.
[emoji7] [emoji7] [emoji4]Swadaktaaa
Kama umenjoy weweeAsante sanaaa
[emoji12]Wew ni braza K wa futuhi
Haya ntayaafanyia kazi hayoSuprise muhimu ila maombi ya wadau pia yafanyiwe kazi hata sio kwa wakati
HahahahaMmmh we acha kuniogopesha
Ila mi sio mrefu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Babu yangu alikuwa mrefu sana
Hahaha dah!
Poa nawe piaG9t all....
Usisahau na mazoezi piaKesho naanza diet maana nimeanza kunenepa
Same to you, usisahau kusaliG9t all....
Hapo utakuwa over weightAaah
Ukiwa mfupi inabid uwe mnene kdogo kwani una avoid kuonekana kama katt
Salama habari yako?Mmeshindaje humu??