Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Number 8, Bernard Coyne (8 ft 2 in or 2.49 m).
Huyu alifanikiwa kwenda kupigana vita ya kwanza ya dunia, na inasadikika kabla haja fariki pengine aliongezeka urefu kwa mita 2 zaid
Number 7, Sultan Kösen (8 ft 3 in or 2.51 m).
Huyu ndiye vitanu vya guness vina mtambua kama mtu mrefu kuliko wote walio hai tangu mwaka 2009