shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Poa mkuu,umeishaikimbia baridi ya lushoto?aje kiongozi
Poa mkuu,umeishaikimbia baridi ya lushoto?aje kiongozi
Dah umepotea??Habari nzuri kaka. Asante kwa kunimiss hata mie nilimiss uwepo wako kwangu. Nimerudi rasmi, tuwe pamoja kaka.
Wazima, habari za MaguWazima wote?
Mmmh nilijua utakuwa ulaya..kumbe imesombwa tu na majiUsiponipata ujue simu yangu imesombwa na maji.

Kwani huyu anakutaka nini bebi wangu... Mbona kukufatafata sana?Uregee kabisaa
Mkuu wewe ulivuna ukaacha shamba sasa zamu yangu kulima...acha niendelee kuvuna angalia utapigwa mshale Wa sumu
Magu???Wazima, habari za Magu
Mzima mamyKwani huyu anakutaka nini bebi wangu... Mbona kukufatafata sana?
Anakufananisha na sumbaiMagu???
Wazima wa afya.Wazima wote?
Kabisaaa maana mie siko magu.Anakufananisha na sumbai
Unaadimika Sana weyeWazima wa afya.
sumbai yuko mwanza ndiyo maanaKabisaaa maana mie siko magu.
Cc: Sumbai


. Alafu mimi najua kwamba uko sumbawanga.....mishughuliko mkuuUnaadimika Sana weye
Pamoja sana kaka.Poa brother.
Karibu sana
Pamoja mkuu....mishughuliko mkuu
Unamdanganya, kwani ukiondoka nacho, wewe ulielekeza kibla yeye anachinja kiulaini, hatoki hata kijasho. sumbai usimsikilize huyu, anaugulia maumivu ya kuachwaNtashindwaje ilhali umekiri nilifungua Njia, na sasa unateleza tu, ukiendelea kula ujue mlimaji alishalima na kuvuna