briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nakuona braza, za mafichoni huko?Naitamani sana hiyo 'kampani' yenu. Nitakuja siku moja huko.
Nakuona braza, za mafichoni huko?Naitamani sana hiyo 'kampani' yenu. Nitakuja siku moja huko.
Mbili bilaMmeshindaje humu??
Hahahaha mzima dadake?Mbili bila
Aaah
Ukiwa mfupi inabid uwe mnene kdogo kwani una avoid kuonekana kama katt
Szczesny nimependa hiki kisegment ulichoanzisha, siku nyingine na mi ntakua najazia nyamaZa time hii wakuu
Kumi kali zina kuja muda si mrefu
Kama kawa.Vp,makapuku inatembea si mchezo
Asante briz, i appriciate thatSzczesny nimependa hiki kisegment ulichoanzisha, siku nyingine na mi ntakua najazia nyama
AsanteeNjema sana Dadake, nilikumiss pia
SwadaktaaaZa time hii wakuu
Kumi kali zina kuja muda si mrefu
Unatakamo!!Linamo nina neno kwako mpendwa wangu
Oneday yes braza.Karibu mkuu, utaenjoy sana
Rudi nyuma kuna kila kituWanamichezo naombeni matokeo ya EURO mech za leo wakuu
Iko njema sana. Maisha vipi?Habari za jioni Makapuku! Nimewamiss sana
Na umezunguka sana, kumbe ndo unataka iwe hivyo!Nakupenda sana binti wa Kifipa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Na usipoonekana mwaka mmoja ni kama miaka 10.Wana speed ya Hatari, mi kutokuonekana leo tu imekuwa kama mwaka
