EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Mzima kakaakeHahahaha mzima dadake?
Teh teheee... Mwambie huyo jamaa.Utachoràa saaana .....
Una mtaji lakini?Makapuku maisha yamekuwa magumu sana. Kazi natafuta sipati nikijatibu huku na kule nagonga mwamba. Nisaidieni ushauri nifanye nini niweze kuganga njaa yangu
Iko njema sana. Mzima lakini?Za time hii wakuu
Kumi kali zina kuja muda si mrefu
Asante sanaaaAsanten kumi kali zme letwa kwemu na
Szczesny Carrenza de la casa de la fuma
Mpaka wakat mwingine kama huu hapo kesho
I hope mme enjoy na kuelimika
Dah hela nliyo nayo ni kama laki 1.5. Ndo nawaza niitumieje kabla mwezi haujaisha nkadaiwa kodi ya chumbaUna mtaji lakini?
Na pia mtu mweusi kuliko wote tuone kama yule demu wako yumo kwenye orodhaThanx
Kesho uje na TOP 10 yaANDUNJE
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Suprise muhimu ila maombi ya wadau pia yafanyiwe kazi hata sio kwa wakati![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa ntalifuatilia
Japo uwa napenda niwa suprize
Ila hakika hiyo lazma ije
Mmmh we acha kuniogopesha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio huyo, na pia nimenote hawa watu warefu hufa mapema sanaa
Nipo mkuu, si unajua tena hela hazilali? So ni katika kukimbizana nazo tuuAsante briz, i appriciate that
Pia umepoteana sana mkuu
Well, nashauri hiyo pesa jaribu kuangalia biashara inayoendana na soko hasa kwa kipindi hiki tulichopo utaweza kusave faida utakayokuwa unaipata maana nikikuambia kufanya biashara flani nitakudanganya coz mazingira tunayoishi mimi na wewe yanatofautiana.Dah hela nliyo nayo ni kama laki 1.5. Ndo nawaza niitumieje kabla mwezi haujaisha nkadaiwa kodi ya chumba
TuheshimianeNa pia mtu mweusi kuliko wote tuone kama yule demu wako yumo kwenye orodha
Uhali gan Jimena?Swadaktaaa
KaribuHodi
Poa dadake nifikishie salam zangu kwa sumbaiMzima kakaake