Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa ntalifuatilia
Japo uwa napenda niwa suprize
Ila hakika hiyo lazma ije
Huyo tall dume ndo SULTAN km sijakosea
.......
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa ntalifuatilia
Japo uwa napenda niwa suprize
Ila hakika hiyo lazma ije
![]()
![]()
Huyo tall dume ndo SULTAN km sijakosea
.......
Tofauti na kina andunje![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio huyo, na pia nimenote hawa watu warefu hufa mapema sanaa
Mi mwenyewe sja bahatika kukyta mtu mzee alafu mrefuuuuTofauti na kina andunje
![]()
![]()
![]()
![]()
............
Haaaahaaaa, bitozThanx
Kesho uje na TOP 10 yaANDUNJE
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..........
Ni ukweli mtupu ht wanene pia usepa mapemaMi mwenyewe sja bahatika kukyta mtu mzee alafu mrefuuuu
mababu, Wengi wana kuwa wa wastani tuu, werefu sana huwa wana ondoka mapemaa
HahahaNi ukweli mtupu ht wanene pia usepa mapema
.........
Fidel Castro nayeye ni mrefu,bado anadundaMi mwenyewe sja bahatika kukyta mtu mzee alafu mrefuuuu
mababu, Wengi wana kuwa wa wastani tuu, werefu sana huwa wana ondoka mapemaa
Ft ngapi yeye!!?Fidel Castro nayeye ni mrefu,bado anadunda
7.6,labda mazoeziFt ngapi yeye!!?
Ndo hivyo binafsi mm siyo mfupi siyo mrefu wala siyo mwembamba wala bongeHahaha
Inakatakiwa uwe mwembamba sasa alaf urefu wa wastani (ufupi sanaaa nao siyo dili sasa)
Tunazungumzia data kwa ujumla sio mtu mmojaFidel Castro nayeye ni mrefu,bado anadunda
Yes ni mkakamavu halaf ana best doctors in the word atakuja kufa natural death tuu yule7.6,labda mazoezi
Ndo hivyo binafsi mm siyo mfupi siyo mrefu wala siyo mwembamba wala bonge
NIMEBALANCE
...........
Namaainisha urefu wangu ni wa wastani na unaendana na uzito nilio nao![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi urefu wa kubalance unakuwaje
AaahNamaainisha urefu wangu ni wa wastani na unaendana na uzito nilio nao
Mfn mtu hajafikisha ft 6 halafu una kg 70 ni tatizo
.........
...........
Naona sumbai hawakauki midomoni.. Mna nini na bae wangu?Sumbai anahangaika hatulii huyo emmyguy nishamkataa kitambo Sana