Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Basi sawaaaaUsikonde sema siwezi kumpa jina la mkongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Basi sawaaaaUsikonde sema siwezi kumpa jina la mkongwe
![]()
![]()
![]()
![]()
......
YaaaniNa upuuzi wake
![]()
![]()
![]()
........
kwema tu mtumishi na uzima upoHabari yako Mtumishi!
Ndo ilivyo.Akizingua atatumbuliwa tu.![]()
![]()
![]()
Dah! Ila kweli, ushauri wako ni mzuri.Hahaaaaa.
Mie ni mwanamke bana najua nini tunakata etiii
Ndio hivyo Shem, hakuna haja ya kubadili wanawake kama nguo,Dah! Ila kweli, ushauri wako ni mzuri.
Shemela wetu amaizing ana mambo!!
Ni kweli kabisa, mie naanza leo kumuombea ndugu yangu youngblood ili apate mke mwema.Ebu tumuweke kwenye maombi ili funiko lake lifunuke... Apate ufunuo
Kila La kheriNi kweli kabisa, mie naanza leo kumuombea ndugu yangu youngblood ili apate mke mwema.
Wanajua kupretend kwenye mahusiano hakuna mfano.Shida ni kwamba ni ngumu sana kuwaelewa wanawake.
Shemeji una mambo!!Wanawake wanaeleweka ila nyie ndio mna vichwa vigumu kama mawe ya singida![]()
![]()
Wako au