Shem niadjeKimyaaaaa
Safi tu Shem. Za jumapiliShem niadje
Jumapili ni njema sanaSafi tu Shem. Za jumapili
Nzuri my wiiHabari za usiku family
Iko poa kabisa. Tunawait blue Monday tuJumapili ni njema sana
Vipi wewe??
Siku nisiyoipendaIko poa kabisa. Tunawait blue Monday tu
Tunaipenda kilazimaSiku nisiyoipenda
Chit chat imevamiwa na wakongwe wameona muziki wetu mkubwa wameamua kufukua makaburi/thread zao za zamaniSiku nisiyoipenda
Hakika nimependa uungwana huu, barikiwa bitoz![]()
Kwanza chagua jukwaa
![]()
Halafu nenda jukwaa husika
![]()
Kisha utaona kitufe kwenye duara la blue
Hicho ndio cha kuanzishia uzi
.......
![]()
Una swali lingine ndugu![]()
ANGALIZO:
Usianzishe thread ya ovyoovyo tu
.......
Asante wifi... Hatimae masaa machache yamesalia week end iisheNzuri my wii
Karibu
Makapuku tupo poaHakika nimependa uungwana huu, barikiwa bitoz
Poa jimena za kwako!Habari za usiku family
Tunapaswa kumshukuru MunguAsante wifi... Hatimae masaa machache yamesalia week end iishe
Inabidi kuipenda kwa lazima tuTunaipenda kilazima
Kuna wengine ndo siku yao ya off
Hahahah nini sasa