FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,556
amina mtumishiHabari ya jumapili Wapendwa katika Kristo!
amina mtumishiHabari ya jumapili Wapendwa katika Kristo!
[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23]ZIARA ZA KUSHTUKIZA, YATAKA MOYO.
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo. Nikaona nijipange na mimi nifanye ziara kadhaa za kushtukiza katika sehemu mbalimbali zinazonihusu.
Nikaona nianze na ziara ya kushtukiza pale shuleni kwa huyu mwanangu, maana kila siku anakunywa chai na kuondoka na daftari zake na mie sijawahi kwenda shuleni kwao toka nilipomuandikisha shule mwezi Januari. Nilifika shuleni na kumuona mwalimu mkuu, ambae alianza kutetemeka nilipomuambia kuwa nimekuja pale kwa ziara ya kustukiza, sijui alidhani mi ni mmoja wa Mawaziri wapya, maana nilimuona jasho linamtiririka ghafla. Akanikaribisha ofisi yake iliyokuwa na vitabu kila kona, na kuita waalimu wote na kunitambulisha kuwa ni kiongozi nimekuja kwenye ziara ya kustukiza. Nilipojitambulisha kuwa ni mzazi, waalimu wote nikawaona waanza kupumua kwa raha. Nikawaambia kuwa mimi nina mwanafunzi pale na nilikuja ziara ya kustukiza kujua maendeleo yake. Baada ya mwalimu mkuu kusaka jina la mwanangu nae akanambia, “Mzee huyu mtoto hajaja shule mwezi wa tatu sasa, tulijaribu kukutafuta ikashindikana, hatujui yu wapi” Jasho likaanza kunitoka mimi, yule mtoto kila asubuhi nampa nauli anaenda shule, na mara nyingi ananiomba michango kumbe hata shule haji. Niliondoka bila kuaga presha ikiwa juu. Nikaona niende kwenye genge la mke wangu nae nikamfanyie ziara ya ghafla nimhadithie mambo ya mwanae, nilipofika pale nikakuta kuna mdada mwingine anauza genge. Nikamsalimu, na kumuuliza mwenye genge ntampataje, jibu lake lingeniua kama ningekuwa si mkakamavu, “Mume wake kaja kumchukua na gari wameenda kununua shamba Bagamoyo”. Nikaondoka nimechanganyikiwa, nikajuwa hapa dawa yangu moja tu, nayo ni Sabrina, mtoto wa Kinyaturu pale ambapo nikipata maudhi huwa naenda kubembelezwa. Nikatwanga mguu kwa Sabrina nae nikamfanyie ziara ya ghafla ili anipoze moyo.
Nilipogonga mlango wa chumba chake akatoka mbaba wa miraba minne, akanisalimia kwa upole, “Salama kaka unasemaje?” Jibu likanitoka “Samahani mie nilimkopesha huyu dada wa chumba hiki vitenge, nilikuja kuuliza kama ameshapata hela yangu” Ziara za kushtukiza zinataka moyo wa chuma jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah kwa mke angenieleza ameenda wapi[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
Hapo Kwa mke ndio balaaaa
Ziara za kushtukiza zinafaa kwa sehemu za kikaz tu zinazokuhusu mwenyewe ila Kwa familia hapanaaaaa
Asante sanaKaribuu
Pole kijana, kuwa mvumilivu kama mimi.Yani hapa umenitonesha kidonda.
Kwa mke wangu ziara kama hizi ni lazima[emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
Hapo Kwa mke ndio balaaaa
Ziara za kushtukiza zinafaa kwa sehemu za kikaz tu zinazokuhusu mwenyewe ila Kwa familia hapanaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yataisha tu.Pole kijana, kuwa mvumilivu kama mimi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haaaa mke ameona maisha magumu ndio maana katafuta bwana WA kumuhonga kiwanjaaHahahah kwa mke angenieleza ameenda wapi
Ndio utakuwa unaumia kila sikuKwa mke wangu ziara kama hizi ni lazima
Kweli lakina abiria lazima uchunge mizigo yako.Ndio utakuwa unaumia kila siku
Asante shem, nshakaribia.Karibu sana Shem
Ila leo vitwanga NO
Ni Full Fruits ,pilau na bataaaa
Hata kama maisha magumu. Nikipata hela wanajifanya anarudiHaaaa mke ameona maisha magumu ndio maana katafuta bwana WA kumuhonga kiwanjaa
Na ukileta zengwe bibie anahamia Kwa mwenye pesa [emoji2] [emoji2]
Mchunge Kwa kumpatia really Love hapo hatakuwa na muda na wanaume wengineKweli lakina abiria lazima uchunge mizigo yako.
Hao ni wale wanaofanya mapenzi pesaaaaHata kama maisha magumu. Nikipata hela wanajifanya anarudi
Asante shemeji kumbe wewe ni mjuzi wa haya mambo.Mchunge Kwa kumpatia really Love hapo hatakuwa na muda na wanaume wengine
Ebu nikuibie siri kidogo, unajua mwanamke anayekupenda Kwa dhati na si kutaka pesa kwako anachohitaji ni vitu vidogo sana ambavyo nyie huwa mnadharau sana
Mwanamke anahitaji uoneshe unamjali, kuwa nae karibu Kwa nyakati zote, mshirikishe mambo yako na jali mambo yake hata Kwa ushauri tu sio lazima pesa..
Hapo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] kila kitu kitaenda poa kwenu
Shem, umefanya la maana kumfariji huyu ndugu yangu youngblood.Pole shem
Usijali utapata aliyotoka Kwa ubavu wako
Nitamwambia abaki huko hukoHao ni wale wanaofanya mapenzi pesaaaa
Hiyo ni lazima hata kwangu asee.Kwa mke wangu ziara kama hizi ni lazima
Tayari yupo vidudu hahahaaa...Amina shemeji,ngoja nimsubiri labda bado hajazaliwa.