kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,676
Hi!!Yeah mfungo wa bia na nyama choma
Hi!!Yeah mfungo wa bia na nyama choma
Mmmh hii nayo kaliLeo tumewaacha waasisi mjikumbushe kidogo, kile kipnd wengne hatuja kuwepo
Sema hiyo ni nzuriMmmh hii nayo kali
Hapana, siku nyingine msifanye hivyoSema hiyo ni nzuri
AaahHapana, siku nyingine msifanye hivyo
Hapana kabisaAaah
Siku moja moja inatakiwa hiyo
We we tafta pesa utapata akupendaeWanajua kupretend kwenye mahusiano hakuna mfano.
Lizzie wangu hayupo hivyoLizzy huyo
Mbona unamruka
.......
Sawa karibu tunywe juis hapaHapana kabisa
AsanteSawa karibu tunywe juis hapa
Ha hahahhaahhh mkuu kama unasikia kiu ufanyeje....kesho ndo ramadhan kwa wale waislamu mjiandae kufunga hatutaki maswala ya kunywa maji kisirisiri jiandaen
Ha hahahahah hakyanan una pepooo wewewe....tena pepo mbaya saana....Nipo nasali kwa kusikiliza Radio Maria hapa maana Kanisani sijaenda.
youngblood sijui mabom ya Tanga yameuchukua Simu yakeBraza jambilo na youngblood nimewakumbukeni sana.
NAOMBENI KUELEZWA NAMNA YA YA KUANZISHA UZI HAPA JF