Makapuku Forum

Makapuku Forum

dc57849bec31dd4e3ec8662caca1bcb1.jpg


......
 
Mchunge Kwa kumpatia really Love hapo hatakuwa na muda na wanaume wengine

Ebu nikuibie siri kidogo, unajua mwanamke anayekupenda Kwa dhati na si kutaka pesa kwako anachohitaji ni vitu vidogo sana ambavyo nyie huwa mnadharau sana

Mwanamke anahitaji uoneshe unamjali, kuwa nae karibu Kwa nyakati zote, mshirikishe mambo yako na jali mambo yake hata Kwa ushauri tu sio lazima pesa..

Hapo kila kitu kitaenda poa kwenu
Maneno kuntu shemeji. Asante kwa ujumbe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom