sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Kwanini ichelewe????Huu sasa ujinga kuna watu rundo tumehitimu vyuo miaka kibao bila ajira......wao wana uhakika wa ajira lkn kuchelewa kidogo TU full povu
THAT'S WAPUUZI
............
Kwanini ichelewe????Huu sasa ujinga kuna watu rundo tumehitimu vyuo miaka kibao bila ajira......wao wana uhakika wa ajira lkn kuchelewa kidogo TU full povu
THAT'S WAPUUZI
............
Iwee...usiite tendo la kupata watoto uzinzi...shikamoo lakini!Wew ishomire utaacha lini uzinzi na umezeeka?
Anapangiwa kijijini lawama kibao.Ha haaa.... Ndio mambo ya kupangiwa kijijini.....dah ila maisha popote....
Wengine bado tunazurura na bahasha tuuu
Morning....kajengeni mie ntapaka langiiGoodmorming all....
Asante Mungu kwa kuwaamsha kapuku woote Salama...
Mungu wabariki popote waingiapo na watokapo
Ameen....
Haya sasa twenden tukajenge nchi....

cc JimenaWatsup???...@jimena kumbe bado mazageti! Oh Noo I mean Magazeti nimekuja![]()
Haina kwereNime muwakilisha maana inaonekana haja kaa sawa leo
HahahahaaHaina kwere
........