Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
naamini huwezi kutuangushaNtajaribu kuufanyia kazi
naamini huwezi kutuangushaNtajaribu kuufanyia kazi
karibu sananaomba kujiunga nanyi makapuku
poa mkuu, niaje huko?Mambo VIP kiongozi
Poa kabisa... Lete mpyaniko poa best.
Ngoja tuone.....naamini huwezi kutuangusha
Ha haaa.....haya mkuu swalama lakin????Mimi ni Chura rider tu mkuu wa kumnesesha chura!
Fresh mkuuuNiaje braza
Ha haa wanashukuru hapo mkuu baada ya kulaView attachment 352129
Mambo ya shibe hayo
Sio kwa kulala huko na masinia pembeniHa haa wanashukuru hapo mkuu baada ya kula
Kazinzi haka kajamaaHa haa hukupewa kwa vile hukutoa chet cha ndoa
Anatumia cha mtalakaHa haa hukupewa kwa vile hukutoa chet cha ndoa
Duh afadhali umejibuHilo zee sina shirika nalo, wakati huu uzi unaanza ndo alikuja hapa kuomba undugu na nikamtimua na watu wote wanajua, so please achana nae
Poa mkuu, hali yakohabari gani ya hapa...
Musolin5safi mkuu
Miss you shemdarling... Nilikusalimia kule wala hukunijibuMiss you shemdarling
Nilikuwa mgonjwa Leo niko vizuri kidogoWazima
Leo ndo unaonekana?
Wew ishomire utaacha lini uzinzi na umezeeka?Nitoe cheti cha ndoa kwani Guest nilienda kuomba kazi? Halafu nakumbuka hata huyu chura niliyekua naye hakunipa risiti ya EFD kwa malipo niliyompatia! Siku nyingine nitamdai double slip ili tuende sawa!
Nimekumiss kama sukari ya maguMiss you shemdarling... Nilikusalimia kule wala hukunijibu
Ooooh poleNilikuwa mgonjwa Leo niko vizuri kidogo