Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Haya kesho hii mada haitakuwepo maana imekuharibia moodKeshoo na muamke salama
Haya kesho hii mada haitakuwepo maana imekuharibia moodKeshoo na muamke salama
Yeah kama ulikula usi generalize kwamba wahehe wote
If ur proudly ate it hakuna matata
Lakin unaharibu kusema wahehe wanakula kwa kuwa
1.ulikula mwenyewe
2. Uliwauliza kina mkwawa
There z no reason to do that
Jaman nalala
Mood yangu haija kaa furesh kdogo now
HahahaHaya kesho hii mada haitakuwepo maana imekuharibia mood
Hahahaha hata hivyo imeishaHahaha
Hiyo mada waka hata isikatishwe iongelewe tuuu
Wala sina tatizo
Hapo sasa ndo nakupaTukisema mada flan haita kuepo kisa mimi nlikuwa na ibishia hapo tutakosea mwisho tutakosa vya kuchati
Hiyo ishu huwa inasemwa so mi nilikuwa na defend tuu na no hard feelings kabsaaa
Napenda tuwe huru kuambiana lolote, na kutaniana kupo ndo utanzania kazi ya makabila ni kutaniana pia
I loove this place, kapuku forever
Cc jimena
Yani mpaka sasa hujalala toka ulivyoaga???Ok
Nlirudi kidogo ku clarify mambo hapa
EeheheheeYani mpaka sasa hujalala toka ulivyoaga???
Wewe kiboko![]()
![]()
![]()
Inaonekana mi ntalala wewe bado
Manake nasinzia hatari
Thanks.... Nawe pia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Gud nyt, clp well
Ha haaa.... Ndio mambo ya kupangiwa kijijini.....dah ila maisha popote....Hahahaha ndo mnatuandama hivi. Sasa inatakiwa walimu waombe ajira kama wengine wanavyoomba.
Ajira mwezi wa saba hapo zinatoka wewe
Good morning beibI've seen you beibe... Kupasua roho changu