Thanks.....that's why I love youMy beauty is only for him... Not for the world..
Ha haaah the boss.....Leo niliamua kupiga ukimya wa mwendo kasi
Ha haa.....Wakati hapa tayari umeshawaambia? Teh teh
Ha haa... Haiwezekan awaahidi watu alafu awatoseeDuuuh Jafo nae atumbuliwe
Ni Lizzy na mumewe ndo wavaajiHa haaah @jimema sijui kaacha kuvaa juzi juzi tuu
Amazing....umekuja kuaga tuu....Nyc nyt all
Makocha wa Kizungu samtaimu magumashi ....kumbuka Kocha wa Yanga nae aliwahi kulibeba garasa JAJA wkt kule kwao hachezi soka analima tu viaziHata ningekuwa mimi ningefanya kama jamaa aisee
Hahahaha ndo mnatuandama hivi. Sasa inatakiwa walimu waombe ajira kama wengine wanavyoomba.UMOJA WA WAALIMU WASIO NA AJIRA TANZANIA
S.L.P 4567
TANZANIA.
KWA RAIS WA JUMUHURI YA MUUNGANO WA TAZANIA,
S.L.P..........
TANZANIA
KK
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA,
S.L.P ........
DODOMA.
Ndg,
YAH:WITO WA KUMTAKA NAIBU WAZIRI TAMISEMI KUJIUZURU.
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.sisi umoja wa walimu wasio na ajira Tanzania tunamtaka naibu waziri tamisemi MH.SULEIMAN JAFO kujiudhuru nafasi yake kutokana na kusema uongo bungeni juu ya ajira za waalimu kutoka mwez mei katika hotuba yake.
Dhumuni la barua hii ni kumtaka mh jafo kuachia ngaz mara moja kutokana na kudanganya waalimu wanaosubiri ajira zaid ya mara mbili.katika hotuba yake hivi karibuni alidai ajira hizo zitatoka mwez mei lakn mpaka sasa ajira hizo azijatoka na kufanya baadhi ya waalimu wanaosubir ajira kuacha ajira zao za muda wakijua mwezi mei ajira hizo zitatoka.
Natumai maombi yetu yatafanyiwa kazimara moja .
kwa niaba ya umoja wa walimu wasio na ajira tanzania
wako ROHAN HASAN MWIJEGA
Cc Th Name na mke wake....
I've seen you beibe... Kupasua roho changuOkey....! Nlikutext watsup love hebu chungulia
Jackline kaitwa kwavile ni mkeweRoy amezingua kwa hili. Jack wa nini sasa au kubebana tu
Kama taifa starz hahah
Acha tu. Ila ngoja tuone mashindano yakianzaMakocha wa Kizungu samtaimu magumashi ....kumbuka Kocha wa Yanga nae aliwahi kulibeba garasa JAJA wkt kule kwao hachezi soka analima tu viazi
![]()
![]()
![]()
........
Nilikuwa sijui aiseeJackline kaitwa kwavile ni mkewe
........
Ww utakuwa sio ntu wa mpira labda unafuatilia netiboliHaaaa
Ata lazimishaje kuchaguliwa!!!
Atoke hapa
ndizi za mwendo kasi hizo![]()
Huu sasa ujinga kuna watu rundo tumehitimu vyuo miaka kibao bila ajira......wao wana uhakika wa ajira lkn kuchelewa kidogo TU full povuUMOJA WA WAALIMU WASIO NA AJIRA TANZANIA
S.L.P 4567
TANZANIA.
KWA RAIS WA JUMUHURI YA MUUNGANO WA TAZANIA,
S.L.P..........
TANZANIA
KK
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA,
S.L.P ........
DODOMA.
Ndg,
YAH:WITO WA KUMTAKA NAIBU WAZIRI TAMISEMI KUJIUZURU.
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.sisi umoja wa walimu wasio na ajira Tanzania tunamtaka naibu waziri tamisemi MH.SULEIMAN JAFO kujiudhuru nafasi yake kutokana na kusema uongo bungeni juu ya ajira za waalimu kutoka mwez mei katika hotuba yake.
Dhumuni la barua hii ni kumtaka mh jafo kuachia ngaz mara moja kutokana na kudanganya waalimu wanaosubiri ajira zaid ya mara mbili.katika hotuba yake hivi karibuni alidai ajira hizo zitatoka mwez mei lakn mpaka sasa ajira hizo azijatoka na kufanya baadhi ya waalimu wanaosubir ajira kuacha ajira zao za muda wakijua mwezi mei ajira hizo zitatoka.
Natumai maombi yetu yatafanyiwa kazimara moja .
kwa niaba ya umoja wa walimu wasio na ajira tanzania
wako ROHAN HASAN MWIJEGA
Cc Th Name na mke wake....
Ndio hivyoHa haaah the boss.....
Nasikia kichefuchefu sikujua km walimu vichwa maji kiasi hiki ....wenzao tumekaa miaka kibao bila ajira wao ht mwaka bado full makeleleHahahaha ndo mnatuandama hivi. Sasa inatakiwa walimu waombe ajira kama wengine wanavyoomba.
Ajira mwezi wa saba hapo zinatoka wewe