Makapuku Forum

Makapuku Forum

1464862399834.jpg

Sio maneno yangu haya
Cc wii amaizing
 
View attachment 352957
Sio maneno yangu haya
Cc wii amaizing
Wanasayansi hawa na vi-study vyao ukiwafuatilia hutaishi. Mf. Study nyingine tena yenye sample kubwa na ya muda mrefu (miaka 25) imeonyesha kuwa pombe inasababisha zaidi ya aina 21 za saratani na wanywaji wanakufa mapema.

Ukichunguza vizuri utakuta kwamba makampuni makubwa ya pombe ndiyo wafadhili wakubwa wa study hii. Mtindo huu unatumiwa sana na pharmaceuticals industry. Wanatengeneza dawa mpya, wanaajiri wanasayansi wao wanatoa ki-study cha uongo na kweli kama hiki kupigia chapuo dawa yao. Miaka 10 mbele ya safari unbiased studies zinafanyika inagundulika kwamba dawa hiyo hiyo iliyosifiwa ina madhara makubwa na imeshaua watu. Dawa inapigwa marufuku, watu wana-sue, kunakuwa na class action na jamaa wanalipishwa faini ya dola milioni 500 wahanga wanagawana. Ukiulizia unakuta dawa hiyo imeshaingiza dola bilioni 5+ kabla haijapigwa marufuku na jamaa wamelipishwa faini ya dola 500 tu. Kibaya zaidi unakuta dawa hiyo hiyo inaendelea kuuzwa sehemu nyingine duniani na hasa Afrika.

Nilipata mshtuko wa kufa mtu mara ya kwanza nafika Marekani uhamiaji wanachukua dozi zangu kadhaa za metacafine (spelling sina uhakika) nilizochukua kwa tahadhari kama nina Malaria. Kuuliza naambiwa metacafine eti ilishapigwa marufuku Marekani tangu miaka ya 80. Kisa? Ina madhara makubwa kwenye ubongo. Nikawauliza mbona Bongo tunabugia tu na hakuna tatizo? Wakasema hapa siyo Bongo na eti mtumiaji wa metacafine hawezi kuwa OK mentally hasa huko mbele ya safari.

It's all about the mighty dollar kwenye hizi studies. Please usiamini kila kitu eti kwa vile umeona ni scientific research. Watu wanapiga hela. Hata Marlboro wana study zao zinazoonyesha kuwa sigara siyo mbaya kihivyo!
 
Relax mkuu

Tunakunywa kistaarabu
Kumbuka nowdayZ almost kila kitu kinsababisha cancer

So ni vile unavyoamua kuishi mwenyewe
Ukiwa mlevi cancer ya koo itakuhusu

Ni mtazamo tuuuu
 
Wanasayansi hawa na vi-study vyao ukiwafuatilia hutaishi. Mf. Study nyingine tena yenye sample kubwa na ya muda mrefu (miaka 25) imeonyesha kuwa pombe inasababisha zaidi ya aina 21 za saratani na wanywaji wanakufa mapema.

Ukichunguza vizuri utakuta kwamba makampuni makubwa ya pombe ndiyo wafadhili wakubwa wa study hii. Mtindo huu unatumiwa sana na pharmaceuticals industry. Wanatengeneza dawa mpya, wanaajiri wanasayansi wao wanatoa ki-study cha uongo na kweli kama hiki kupigia chapuo dawa yao. Miaka 10 mbele ya safari unbiased studies zinafanyika inagundulika kwamba dawa hiyo hiyo iliyosifiwa ina madhara makubwa na imeshaua watu. Dawa inapigwa marufuku, watu wana-sue, kunakuwa na class action na jamaa wanalipishwa faini ya dola milioni 500 wahanga wanagawana. Ukiulizia unakuta dawa hiyo imeshaingiza dola bilioni 5+ kabla haijapigwa marufuku na jamaa wamelipishwa faini ya dola 500 tu. Kibaya zaidi unakuta dawa hiyo hiyo inaendelea kuuzwa sehemu nyingine duniani na hasa Afrika.

Nilipata mshtuko wa kufa mtu mara ya kwanza nafika Marekani uhamiaji wanachukua dozi zangu kadhaa za metacafine (spelling sina uhakika) nilizochukua kwa tahadhari kama nina Malaria. Kuuliza naambiwa metacafine eti ilishapigwa marufuku Marekani tangu miaka ya 80. Kisa? Ina madhara makubwa kwenye ubongo. Nikawauliza mbona Bongo tunabugia tu na hakuna tatizo? Wakasema hapa siyo Bongo na eti mtumiaji wa metacafine hawezi kuwa OK mentally hasa huko mbele ya safari.

It's all about the mighty dollar kwenye hizi studies. Please usiamini kila kitu eti kwa vile umeona ni scientific research. Watu wanapiga hela. Hata Marlboro wana study zao zinazoonyesha kuwa sigara siyo mbaya kihivyo!
Wanasayansi hao hao ndio wanaotuambia kuwa mpaka sasa cancer haijulikani inaletwa na nini ukiondoa kurithi ndomana huku mtu akipatwa na kansa hata kama anavuta sigara dokta hathubutu kumwambia kuwa ni sababu ya sigara ila tu anaweza mwambia kuwa katika wagonjwa 10 nnaotibia cancer 2 wanavuta sigara au anakupa kitabu usome mwenyewe
Hivyo mpaka sasa hakuna kitu kilichothibitishwa kuwa kinaleta kansa ukiondoa kurithi
Ila kuna vitu vinavyohisiwa huenda vinasababisha ila haijathibitishwa.
 
Wanasayansi hawa na vi-study vyao ukiwafuatilia hutaishi. Mf. Study nyingine tena yenye sample kubwa na ya muda mrefu (miaka 25) imeonyesha kuwa pombe inasababisha zaidi ya aina 21 za saratani na wanywaji wanakufa mapema.

Ukichunguza vizuri utakuta kwamba makampuni makubwa ya pombe ndiyo wafadhili wakubwa wa study hii. Mtindo huu unatumiwa sana na pharmaceuticals industry. Wanatengeneza dawa mpya, wanaajiri wanasayansi wao wanatoa ki-study cha uongo na kweli kama hiki kupigia chapuo dawa yao. Miaka 10 mbele ya safari unbiased studies zinafanyika inagundulika kwamba dawa hiyo hiyo iliyosifiwa ina madhara makubwa na imeshaua watu. Dawa inapigwa marufuku, watu wana-sue, kunakuwa na class action na jamaa wanalipishwa faini ya dola milioni 500 wahanga wanagawana. Ukiulizia unakuta dawa hiyo imeshaingiza dola bilioni 5+ kabla haijapigwa marufuku na jamaa wamelipishwa faini ya dola 500 tu. Kibaya zaidi unakuta dawa hiyo hiyo inaendelea kuuzwa sehemu nyingine duniani na hasa Afrika.

Nilipata mshtuko wa kufa mtu mara ya kwanza nafika Marekani uhamiaji wanachukua dozi zangu kadhaa za metacafine (spelling sina uhakika) nilizochukua kwa tahadhari kama nina Malaria. Kuuliza naambiwa metacafine eti ilishapigwa marufuku Marekani tangu miaka ya 80. Kisa? Ina madhara makubwa kwenye ubongo. Nikawauliza mbona Bongo tunabugia tu na hakuna tatizo? Wakasema hapa siyo Bongo na eti mtumiaji wa metacafine hawezi kuwa OK mentally hasa huko mbele ya safari.

It's all about the mighty dollar kwenye hizi studies. Please usiamini kila kitu eti kwa vile umeona ni scientific research. Watu wanapiga hela. Hata Marlboro wana study zao zinazoonyesha kuwa sigara siyo mbaya kihivyo!
Kuhusu dawa sio huko tu, hata Ulaya pia dawa hawataki, yani mambo ya mtu kujaza antibiotic tulishayaacha long time
Na sasa nimeshazoea kuwa homa haitibiwi na dawa Bali ni wale bacteria wazuri wanafight katika kunilinda, hivyo nikipata homa nakunywa soup tu nalala mpaka kesho yake au kesho kutwa yake inaisha yenyewe na ikiwa kali sana panadol 1 basi
Mwanzoni nilidhani wanataka kuniua swala la kwenda kumuona doctor kisha dawa sipewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom