Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nafikiri unataka kukosea, hapa huwa utani mwingi labda unajisahau unavyonitaniaga.
Pia hatujafikia hatua ya kuvunjiana heshima, nilipoomba msamaha nadhani ingetosha
Mi siwezi issue za kuweka moyoni, ukiniudhi ujue wazi ntakwambia huyo ni Mimi na sitabadilika
Utani upo ila sio wa kuvunjiana heshima kama ule.
 
78ceab8107de7e4799f1108d6b4f64c5.jpg

Basi huyu tumnyanganye baiskeli

......
Tumfungulie na kesi kabisa ya kuiba baiskeli ya watu
 
Haahaaa!
Kwanini nijitetee wakati mbwa hana ubaya wowote?
Kwani kuna tofauti gani kati ya mbwa na ng'ombe?
Yeah kama ulikula usi generalize kwamba wahehe wote

If ur proudly ate it hakuna matata

Lakin unaharibu kusema wahehe wanakula kwa kuwa

1.ulikula mwenyewe
2. Uliwauliza kina mkwawa

There z no reason to do that
 
Yeah kama ulikula usi generalize kwamba wahehe wote

If ur proudly ate it hakuna matata

Lakin unaharibu kusema wahehe wanakula kwa kuwa

1.ulikula mwenyewe
2. Uliwauliza kina mkwawa

There z no reason to do that
Naomba nichukue nafasi hii kumtetea Cobblepots sio yeye aliyesema kuwa wahehe wanakula dog, mi toka mdogo nimesikia hiyo kitu hivyo sio kitu kipya.
Huu msemo haumaanishi wahehe wote......
Relax
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom