Mi nlikuwa nakucheki tuuuHahaha sikujua kuwa wachukia toka rohoni, nilidhani wamtania...pliz![]()
![]()

Walisha tafuna haoMmmmmh mnajitetea tu.... Weka picha
Uwe unatumia akili, unaona mtu nimemnyamazia sijareply hata mara moja ila wewe tena ndo anajifanya bwana shughuliHahaha sikujua kuwa wachukia toka rohoni, nilidhani wamtania...pliz![]()
![]()
Hahah nawe acha kuwasha moto, ckujua kama yuko siriazMi nlikuwa nakucheki tuuu
![]()
Hongera kwa post ya 46kDuuuh, wanazingua sasa!
Unajua haya mabasi ni mara ya pili kuletwa?
AaahHahah nawe acha kuwasha moto, ckujua kama yuko siriaz

Ladha yake ikoje?Uwiiiiii, kweliiii
Na sidhani kama ni wa iringa huyu mtu
KujiteteaMhehe utamjua tu
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Nyie mna dhulumu, hyo nimetuma mimiHongera kwa post ya 46k
Yaliletwa lini??
Sijawahi kula wala kushuhudia mtu akilaLadha yake ikoje?
Kujitetea
Au ndo hayo wanayosemaga macalos?? Manake nimesikia sana stori zakeHaaahaa,
Mzee Nyerere alishawahi kuagiza.
Basi kuna mzee X alipewa kazi ya kuyaleta huko akapewa na moja extra akilifanya liwe lake.
Ile kuliona town akauliza ni la nani wakamwambia nia la Mzee X; wacha Mwalimu afure hasira akamwita jamaa akamwambia hiyo extra ilikuwa ni yangu siyo yako.
Haya ya sasa naogopa Sabotage tu!
Nafikiri unataka kukosea, hapa huwa utani mwingi labda unajisahau unavyonitaniaga.Uwe unatumia akili, unaona mtu nimemnyamazia sijareply hata mara moja ila wewe tena ndo anajifanya bwana shughuli
Na nikakwambia sina shirika nae ila upo tu kama sio kunitafuta ni nini???
Kwanza nlijua wewe si mhehe
Sasa hapo mlilishwa mbwa kwa sababu ya uzembe wenu alaf eti unasema wahehe uwa wana kula
Lol!!!
Ulikuwa wewe na wenzio, but mi mda nlo ishi iringa sja ona that case
Ukatili kwa watoto![]()
Lazima ya .kimwendokasi
.......
Acha upambe mkuu yaishe, acha upepo upiteAaah
Nimekusamehe, maana na mie nlikuwa sjapenda
![]()
![]()
![]()
Ahaaa hapo sawaHahaha
Wala usingiz wa kawaida tuu