Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Hahahaaa nitakununulia kama hiyoHahahahah duuuh hii Kali sasa
View attachment 352841
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]![]()
Shabiki wa mwendokasi
.....
Tutaongea chemba dadangu jimena hapendi kujionyesha, mambo yake ni ya undergroundsawa shemeji....
sijakosea hata kidogo kuja kwa huyu binti mrembo, her availability is very enough to me!! dada yako ni wangu. Amen!!
Hahaha atavaa nani sasaHahahaaa nitakununulia kama hiyo
Iringa hatuli hyo kituIringa siku hizi hawali mbwa bwana!
Wewe apo, hahahaaHahaha atavaa nani sasa
Tatizo ni hili mazoea bado madereva wa gari ya kawaida ni janga sana. Hawana Subira kabisa. Pia hata mwendokasi wanaona wao ni bora zaidi.
Watu hawataki kutii sheria
HatuliiiiDog
[emoji2]
....
HahahahWewe apo, hahahaa
Wapi huko?Acha kabisa, japo sasa hivi inaelekea kupungua!
Tunaliona hata jua aseee!
Vipi umepanda mabasi ya mwendokasi eeh?
Ndo naangalia stail gani niingie nayo kwa godoroWewe unalala mkuu?
Hapana, sikulijua hiloDuuuh, wanazingua sasa!
Unajua haya mabasi ni mara ya pili kuletwa?
Iringa hatuli hyo kitu
Its a myth afterall
[emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276] [emoji276]Haahaaa,
Hiyo kitu imeliwa sana Iringa.
Kuna sehemu inaitwa Tanangozi miaka ya 80's, 90's hadi 2000's imeliwa sana.
Ulikuwa una kula!!!?Haahaaa,
Hiyo kitu imeliwa sana Iringa.
Kuna sehemu inaitwa Tanangozi miaka ya 80's, 90's hadi 2000's imeliwa sana.