Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Kaonja huyuUlikuwa una kula!!!?
Kaonja huyuUlikuwa una kula!!!?
Hahahah sio sanaNyie nao kwa kuteta![]()
![]()
![]()
![]()
Uwiiiiii, kweliiiiKaonja huyu
Hapana, sikulijua hilo
Hatuliiii
Tai inanitosha kupata pensi ya kuvaa uvukweniHahahahah duuuh hii Kali sasa
View attachment 352841
Wanyalu nasikia wanakula mwanzo mwisho![]()
![]()
![]()
Hayo ni ya kupotezea tuAaah nilikuwa nina mpango nikirudi niyapande!
Basi sasa hakuna namna tena!
SanaaaaaNi balaa kinoma!
Mara hii una usingizi?? Au we mwenzetu usingizi wako ni wa mwendo kasi?Mlaleeee
Mpumzike
Hahahaha yule mzee ni balaa mwache apumzike kwa amani tuHaaahaa,
Mzee Nyerere alishawahi kuagiza.
Basi kuna mzee X alipewa kazi ya kuyaleta huko akapewa na moja extra akilifanya liwe lake.
Ile kuliona town akauliza ni la nani wakamwambia nia la Mzee X; wacha Mwalimu afure hasira akamwita jamaa akamwambia hiyo extra ilikuwa ni yangu siyo yako.
Haya ya sasa naogopa Sabotage tu!
Wanakula nini?Iringa siku hizi hawali mbwa bwana!
Hahaha kabisaTai inanitosha kupata pensi ya kuvaa uvukweni
Basi MnyalukoroMkuu, mbona mimi siyo Mhehe!