Makapuku Forum

Makapuku Forum

d209ca440948742e4d84ea7a76fe28fa.jpg

Aliyesahau viatu vyake aje kuchukua fasta kabla sijavichoma moto
Nahisi ni vya wale walimu couple

........
Sisi au?
 
Nasikia kichefuchefu sikujua km walimu vichwa maji kiasi hiki ....wenzao tumekaa miaka kibao bila ajira wao ht mwaka bado full makelele
Wakalime matikiti wasitusumbue

......
Tatizo wanaona wao ndo wa kipaumbele sana kuliko wengine.

Mbona kuna shughuli nyingi za kufanya tu. Wawe wapole tu mwaka. Kama zipo wataambiwa
 
UMOJA WA WAALIMU WASIO NA AJIRA TANZANIA
S.L.P 4567
TANZANIA.

KWA RAIS WA JUMUHURI YA MUUNGANO WA TAZANIA,
S.L.P..........
TANZANIA

KK
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA,
S.L.P ........
DODOMA.

Ndg,
YAH:WITO WA KUMTAKA NAIBU WAZIRI TAMISEMI KUJIUZURU.
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.sisi umoja wa walimu wasio na ajira Tanzania tunamtaka naibu waziri tamisemi MH.SULEIMAN JAFO kujiudhuru nafasi yake kutokana na kusema uongo bungeni juu ya ajira za waalimu kutoka mwez mei katika hotuba yake.
Dhumuni la barua hii ni kumtaka mh jafo kuachia ngaz mara moja kutokana na kudanganya waalimu wanaosubiri ajira zaid ya mara mbili.katika hotuba yake hivi karibuni alidai ajira hizo zitatoka mwez mei lakn mpaka sasa ajira hizo azijatoka na kufanya baadhi ya waalimu wanaosubir ajira kuacha ajira zao za muda wakijua mwezi mei ajira hizo zitatoka.
Natumai maombi yetu yatafanyiwa kazimara moja .
kwa niaba ya umoja wa walimu wasio na ajira tanzania
wako ROHAN HASAN MWIJEGA

Cc Th Name na mke wake....
Hahaa sisi mbona tumeajiriwa tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom