Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sijasema hastahili

Ila kama hajaitwa atulie kimya, asubir zamu yake, kelele za nini

Watu mko mamilion wanitwa 23 ukiachwa una kausha tuu
Mkuu mbona huelewi[emoji780]
Ht wangeitwa 17 bado anastahili kuwepo kumbuka MPIRA HAUCHEZWI CHUMBANI.....labda use me tu haelewani na kocha ndo nitakuelewa
RIGHT ?
..........
 
Hahahah haki yao bhana sababu waliahidiwa

Mtaani pagumu sana
1afaecaab90305f3d659fa02efb1771a.jpg

[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
.........
 
Mkuu mbona huelewi[emoji780]
Ht wangeitwa 17 bado anastahili kuwepo kumbuka MPIRA HAUCHEZWI CHUMBANI.....labda use me tu haelewani na kocha ndo nitakuelewa
RIGHT ?
..........
Nakuelewa ila wewe hunielewi mimi

Kuna kuachwa na kulalamika ukiachwa

Nampinga anavo mind, hakuna sheria inayo mlazimisha kocha aite mtu

Aache kubwata, ndo nikasema kina ben arfa wameachwa na wame cool tuu

My point is aache kelele akale bata si lazma aitwe yeye

Kocha ndo ana amua
 
Back
Top Bottom