Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Na wewe leo ulipotea sasaSema wewe yani mi mpaka nilidhani simu yake imezimwa
Na wewe leo ulipotea sasaSema wewe yani mi mpaka nilidhani simu yake imezimwa
Hahahaaaa jamani.
Walimu kwa mbwembweHahaaa sisi tumeunganishwa na damu. Haiwezekani kuachana.
HaaaaaWw utakuwa sio ntu wa mpira labda unafuatilia netiboli
![]()
![]()
![]()
........
Walimu kwa mbwembwe
Nasikia tattoo mnajichora kwa chaki
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
ndio maana yakeHata weweNataka muachane...nikuchukue
![]()
![]()
![]()
![]()
........
XimenaHaaaaa
Mtu wa mpira nisipo kuwa mimi awe nan!!?
Wakalime mipapai...nao wajue jinsi kitaa kinavyonukaSerikali ndo imewaahidi.
Ila wanatakiwa kupunguza lawama hawa waliosemea ualimu.
Sasa we jifanye unajua mpira kuliko kocha wa englandWw utakuwa sio ntu wa mpira labda unafuatilia netiboli
![]()
![]()
![]()
........
Mna tofauti wenzio walisoma wakijua ahira yao mwezi wa pili, zaid sana mwez wa nneNasikia kichefuchefu sikujua km walimu vichwa maji kiasi hiki ....wenzao tumekaa miaka kibao bila ajira wao ht mwaka bado full makelele
Wakalime matikiti wasitusumbue
![]()
![]()
![]()
![]()
......
Mtaani pagumu sana. Lazima walalamike.Wakalime mipapai...nao wajue jinsi kitaa kinavyonuka
.......
IntelligentTatizo wao waliahidiwa
Hapo utakuwa unawatusi bila sababu, circumstances zao na zako tofautiYaani natamani ht kuwatusi....wenzao hupiga ishu za kuungaunga ht 5 yes bila ajira
Wao miezi 6 tu kitaa full domokaya
WANAUDHI
........
Zaidi ya huyoDuh unamiliki mtoto mkali![]()
.......
Hahaha hatareeUlikuwa ukimya wa mwendo kasi![]()
![]()
Mkuu kuna wachezaji wana bifu na kocha .....hapo sawaSasa we jifanye unajua mpira kuliko kocha wa england
Timu ya taifa wanitwa watu ambao kocha ana panga
Ben arfa na lacazette wameachwa ufaransa
Hayo mambo yapo
HakikaIntelligent
