UMOJA WA WAALIMU WASIO NA AJIRA TANZANIA
S.L.P 4567
TANZANIA.
KWA RAIS WA JUMUHURI YA MUUNGANO WA TAZANIA,
S.L.P..........
TANZANIA
KK
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA,
S.L.P ........
DODOMA.
Ndg,
YAH:WITO WA KUMTAKA NAIBU WAZIRI TAMISEMI KUJIUZURU.
Tafadhari husika na mada tajwa hapo juu.sisi umoja wa walimu wasio na ajira Tanzania tunamtaka naibu waziri tamisemi MH.SULEIMAN JAFO kujiudhuru nafasi yake kutokana na kusema uongo bungeni juu ya ajira za waalimu kutoka mwez mei katika hotuba yake.
Dhumuni la barua hii ni kumtaka mh jafo kuachia ngaz mara moja kutokana na kudanganya waalimu wanaosubiri ajira zaid ya mara mbili.katika hotuba yake hivi karibuni alidai ajira hizo zitatoka mwez mei lakn mpaka sasa ajira hizo azijatoka na kufanya baadhi ya waalimu wanaosubir ajira kuacha ajira zao za muda wakijua mwezi mei ajira hizo zitatoka.
Natumai maombi yetu yatafanyiwa kazimara moja .
kwa niaba ya umoja wa walimu wasio na ajira tanzania
wako ROHAN HASAN MWIJEGA
Cc
Th Name na mke wake....