Mimi niko ICU, na tabibu ndo wewe...Nimekumiss hadi naumwa
Niko hapa sasa![]()
![]()
Mimi niko ICU, na tabibu ndo wewe...
Sijambo za hapa na pale katika ulimwengu huu unaoongea kiswahili?Ha haa hujambo.....
Beib.....miss youMimi niko ICU, na tabibu ndo wewe...
Hivi mende youngblood yupo??? Wapi au tcra ishamtumbuaNiko hapa sasa![]()
![]()
Mkuu nikikuona nafarijika Sana....Asante brother nitarudi baadaye.
Ha haaah @jimema sijui kaacha kuvaa juzi juzi tuu![]()
Aliyesahau viatu vyake aje kuchukua fasta kabla sijavichoma moto
Nahisi ni vya wale walimu couple
![]()
![]()
![]()
........
Hata ningekuwa mimi ningefanya kama jamaa aisee
Njema mpendwa.....!Sijambo za hapa na pale katika ulimwengu huu unaoongea kiswahili?
Etiiiii........Vijana mpo??? Chini ya chama chama gani mi sisemi ohohohoho. Bibi keshaweka sminof.
Mimi niko ICU, na tabibu ndo wewe...
Hivi hii ni kapo???Niko hapa sasa![]()
![]()
Ha haa Jamaa yupo kweli kabisaa....Jak kacheza mech chache saaana.....Hata ningekuwa mimi ningefanya kama jamaa aisee
Roy amezingua kwa hili. Jack wa nini sasa au kubebana tuHa haa Jamaa yupo kweli kabisaa....Jak kacheza mech chache saaana.....
Sema siumi saana kwavile timu ya taifa ya england nisawa na taifa staz tuu