Acha tu hajui alivyo ni heart-break juu ya ndoo la 20l mm 🥹💔...bado ako Mwanza, maana hajasema kutoka pale alipokuitia samaki
Jamani jamani! Same to you! Stay blessed😍🙏🏽Tuwe na mwanzo mzuri wa wiki la tau la mwaka 2026.
Na bado nakuambia happy new year kama hatujasalamiana
Jichanganye tuHii ndio habari ya mjini kwa sasa
![]()
Huh!B
asi na mimi Kapuku....
Lol! Mimi ni kijana ila nna mambo ya kizee sana. Hapo ongeya naye ili ile heart break uliyompatia uimend na mwaka 2026 usijesema hauna bahatiShe is super sweet haswa, charming na wala haringi ningependa kuona anapata mzee kama wewe umspoil haswaa.
Vitisho au taharuki?Jichanganye tu