Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo Messi 2022/23

️French Super Cup
️French Super Cup Best Player
World Cup winner
World Cup Final Player of the Match
World Cup Golden Ball winner
The Best FIFA Men's Player 2022
️ IFFHS Best Player Award
️ IFFHS International Top Scorer
️ IFFHS Best Playmaker Award
2023 Laureus World Sportsman of the Year

Screenshot_20230528_053511.jpg
 
Abdallah Kibadeni Mputa ameshafanya makubwa akiwa mchezaji na Kocha wa Simba, anashikilia rekodi ya kufunga hat-trick kwenye mechi ya watani wa jadi ambayo haijafikiwa hadi leo!

Anashikilia rekodi ya Kocha wa kwanza kuifikisha Simba Fainali ya mashindano ya CAF ambayo imefikiwa na Kocha wa Yanga Mohamed Nasreddine Nabi baada ya miaka 30.

Licha ya ufamle wake na heshima kubwa aliyojijengea ndani ya Simba, Mzee Kibadeni yupo tayari kupiga ‘uzi’ wa Wananchi na kwenda uwanjani kuwashangilia wakicheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger.

“Kama kuna mtu ana jezi ya Yanga akinipa navaa wala sioni dhambi! Nitaivaa na kwenda kuishangilia Yanga, iwe ni uwanjani [Benjamin Mkapa] au hata kwenye vibanda vinavyoonesha mpira.”

Kazi kwenu WANANCHI
Screenshot_20230528_053802.jpg
 
Kinda raia wa Ujerumani Jamal Musiala amefunga bao lililowatenganisha Dortmund na Ubingwa wa Bundesliga dk 89' ya mchezo akitokea benchi.

Kabla ya mchezo Dortmund alikuwa anaongoza Ligi akiwa na points 70 , huku Bayern akiwa na Pts 68 , sare ya 2-2 imewafanya Dortmund wafikishe alama 71 huku Bayern wakishinda 2-1 na kufikisha alama 71 wakiwa na faida ya magoli ya kufunga .
Screenshot_20230528_053903.jpg
 
Mwaka 2018 Yanga ilikutana na USM Alger kwenye mechi Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya makundi [Kundi D], mwaka 2023 [miaka mitano badae] timu hizo zinakutana wenye Fainali ya mashindano hayohayo!

Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ndio mchezaji pekee wa Yanga aliyekuwepo kwenye kikosi cha mwaka 2018 lakini yupo tena kwenye kikosi cha mwaka 2023!
Screenshot_20230528_054143.jpg
 
Mshambuliaji wa Chelsea (Wanawake ) Sam Kerr wins ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa kike wa Mwaka (Women Footballer of the year ) Tuzo inayotolewa na Football Writers’ Association ,

Hii inamfanya awe Mchezaji wa kwanza kushinda Tuzo hii back-to-back.

Screenshot_20230528_054317.jpg
 
Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera amesema timu yake ya zamani inanafasi ya kushinda dhidi ya USM Alger kama itajipanga vizuri kwa ajili ya mechi zao mbili za Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Zahera anasema Yanga ya sasa sio ile ya mwaka 2018 ambayo ilipoteza ugenini lakini ikafanikiwa kushinda nyumbani katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

“Ukiingalia Yanga iliyocheza dhidi ya USM Alger mwaka 2018 na hii ambayo itacheza Fainali, kuna mabadiliko kwa 100%. Kila mmoja anajua historia ya Yanga wakati mimi nikiwa kocha.”

“Tulifungwa na USM Alger kwao [Algeria] lakini tuliwafunga kwenye mechi ya marudiano hapa [Dar].”

“Wakati tunapoteza kule Algeria kulikuwa na kundi kubwa la wachezaji waligoma kusafiri kwa sababu za madai ya mishahara [Chirwa, Ngoma, Yondani] hatukusafiri na mshambuliaji hata mmoja!

“Tulisafiri na jumla ya wachezaji 13 tu! Kwenye benchi tulikuwa na wachezaji wawili.”

Mwaka 2018 Yanga ilikuwa kundi moja na USM Alger [Kundi D] kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika, katika mechi mbili dhidi ya USM Alger, Yanga ilipoteza 4-1 ugenini [Algeria] halafu ikashinda 2-1 nyumbani [Dar, Tanzania].
Screenshot_20230528_054623.jpg
 
EDEN HAZARD WA LA LIGA

2022/23 Mechi 6
2021/22 Mechi 18
2020/21 Mechi 14
2019/20 Mechi 16

Msimu aliofunga magoli mengi ni 2020/21 akifunga magoli matatu [3], Msimu wa kwanza alifunga goli moja [1].

️ VS Sevilla FT [2-2]
️ VS Alaves FT [4-1]
️ VS Huesca FT [4-1]
️ VS Granada FT [4-2]

Msimu huu amecheza mechi sita pekee na zote timu yake ilishinda!

VS Getafe [1-0]
VS Cadiz [2-0]
VS Valladolid [6-0]
VS Mallorca [4-1]
VS Celta Vigo [4-1]
VS Almeria [2-1]
Screenshot_20230528_054930.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom